jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,974
- 1,401
Nauliza,ni msimu gani ticket za ndege huwa zinashuka kuliko wakati wowote ule kwa maana nimekwenda kwenye shirika moja kwa ajili ya kupata ticket yakwenda TZ, kwa ajili ya x-mas wiki moja nauli waliyoniambia 2.3M wakati huwa natumia 1.4M nauli,sasa nimeaharisha mpaka nauli pale zitakaposhuka.sasa ni msimu gani nauli huwa zinashuka kuliko wakati mwingine wote..ili niweze kwenda kumuona mama watoto wangu kwa wiki moja.sababu nimemisss sana.