Nisaidieni jamani..

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,400
Nauliza,ni msimu gani ticket za ndege huwa zinashuka kuliko wakati wowote ule kwa maana nimekwenda kwenye shirika moja kwa ajili ya kupata ticket yakwenda TZ, kwa ajili ya x-mas wiki moja nauli waliyoniambia 2.3M wakati huwa natumia 1.4M nauli,sasa nimeaharisha mpaka nauli pale zitakaposhuka.sasa ni msimu gani nauli huwa zinashuka kuliko wakati mwingine wote..ili niweze kwenda kumuona mama watoto wangu kwa wiki moja.sababu nimemisss sana.
 
jee upo nchi gani?kwa kipindi hiki kwa sababu ya x.mas ticket zipo juu kwa kweli.
 
Uwe unaangalia nauli kwenye internet mara kwa mara, kushuka kwa nuli hakutabiriki, ila kama ukiwa unachek mara kwa mara utaona kuna wakati nauli zinakuwa chini na wakati zinakuwa juu! Hapo ndo utaamua ni lini utasafiri.
Pili chek nauli kwa mashirika mbalimbali ya ndege maana yanatofautiana. Mengine ni nafuu kidogo na mengine ni Gharama sana.
 
Back
Top Bottom