Nisaidieni jamani

Hivi utoto mwisho ni miaka mingapi tena???
 
Nenda kanunue Primolut N.
Ni kidonge kimoja tu kidogo tu bei yake ni Tsh.1,000 au 1,500.
Mpe ameze kabla ya 72 hours after sex, acha kupoteza muda hapa jamvini.

Akimbie ila aangalie asigongwe na gari maana najua sasahv ni anakimbia haswa.
 

We Mtoto Siku nyingine ingia gharama kidogo ununue Rough Rider badala ya kutumia vicondom cheap kama unataka kumlinda Mtoto mwenzio
 



ww mtumwa wa ibilisi kama jina lako lilivyo uache dhambi!
si kila ngono ni mimba mpaka Dr kuthbitisha,au kuwa dalili kamili baad a ya wiki mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…