Nisaidieni jamani

Wacha utoto wewee.

Nani kakwambia ukimwaga ndani ni lazima mimba iingie.
 

Nimempa promt n
 
Nenda kanunue Primolut N.
Ni kidonge kimoja tu kidogo tu bei yake ni Tsh.1,000 au 1,500.
Mpe ameze kabla ya 72 hours after sex, acha kupoteza muda hapa jamvini.

Nimepata nime mpa kimoja naw kwani dozi ni kwasiku ngapi inatakiwa
 
au ndio km yule alikojoa juu ya chu.pi akaambiwa ameshika mimba?isije ikawa ni yule yule
 
wewe kweli sio dereva mzuri, tairi imebast we ukaendesha hivohivo
 

Tafuta vodonge vinaitwa P2 usipuuze hata ukigoogle uutavipata maelezo
 
Tulivyo maliza nilwambi aka chuchumae zikatoka sasa cjui kama nizote nakama zime baki haziwezi kuleta mimba au zitakufa

Nimegundua wewe pia ni mgeni...mbegu zikishaingia hazina kutoka inayotunga mimba ishapita zamani km ilikuwa cku yake.kuwa makini sana
 
Kazi kweli huyuvanamwambia P2 yule anasema huyu anasema primolut N kazi kweli mmh kijana pole sana mm sikushauri kwa vile umevunja amri ya sita ila mwambie huyo mdada ale yai vizaaπŸ˜€πŸ˜€
 
Kazi kweli huyuvanamwambia P2 yule anasema huyu anasema primolut N kazi kweli mmh kijana pole sana mm sikushauri kwa vile umevunja amri ya sita ila mwambie huyo mdada ale yai vizaaπŸ˜€πŸ˜€

Hahaaaaaaaaaa yesu wanguuuuuu...nimecheka hadi hurumaaa...yote ni ushauri lakini huh ni mwisho
 
Naona unahangaika kuzuia mimba...vipi kuhusu ukimwi nao umeweza kuuzuia?

Halafu kupitia post na komenti zako inaonekana na we mwenyewe bado ni bwa mdogo na pia ni mwanafunzi. Hebu tulizeni akili zenu kwenye masomo yenu, mnawapa hasara sana wanaowasomesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…