Nisaidieni jamani

WILSON MWIJAGE

JF-Expert Member
May 30, 2011
276
76
Ndugu,

Nilikopeshwa shilingi 5,000 na kaka yangu nashilingi 5,000 na dada yangu, nikanunua shati kwa shilingi 9,700.Niliporudishiwa shilingi 300 nikaamua kupunguza deni, hivyo nikampa kakashilingi 100 na dada 100 na nikabaki na shilingi 100. Kwa sasa kaka ananidaishilingi 4,900 na dada shilingi 4,900 ambazo jumla yake ni 9,800. Nadaiwa 9,800lakini nikiongeza na shilingi 100 niliyonayo inakuwa ni shilingi 9,900. Jeshilingi 100 iko wapi/inapotelea wapi?
 
Back
Top Bottom