Hahah...Muggie karibu mazoezini. Mi nlikuwa na tumbo la Kepten Komba hivi sasa nashindana na Michael Schumacher.NN, hivi gastric bypass na liposuction mwananyamala hosp wanafanya? Wanapokea kadi za NHIF? Manake kila mtu ananiuliza when is the baby due!
NN, hivi gastric bypass na liposuction mwananyamala hosp wanafanya? Wanapokea kadi za NHIF? Manake kila mtu ananiuliza when is the baby due!
Hahah...Muggie karibu mazoezini. Mi nlikuwa na tumbo la Kepten Komba hivi sasa nashindana na Michael Schumacher.
tumbo linapungua ndio?Hahah...Muggie karibu mazoezini. Mi nlikuwa na tumbo la Kepten Komba hivi sasa nashindana na Michael Schumacher.
Hehehehe... karibu nikusaidie. Niangalie mwenzio nilivyokata likitambiuwiiii....hivi si nitaachwa mimi....hili tumbo langu liko kiunoni....mama weeee......babu unafanyia wapi mazoezi....?
Agrrrrrrrrrrrrrrrrr...........ptuuuuuuu!tumbo linapungua ndio?
je icho kipengele cha wigi unakisemeaje mkuu?
mzizi mkavu alisema kunywa maji ya vuguvugu asubuhi lita moja weka asali vijiko vitatu kwa wiki sitauwiiii....hivi si nitaachwa mimi....hili tumbo langu liko kiunoni....mama weeee......babu unafanyia wapi mazoezi....?
Hehehehe... karibu nikusaidie. Niangalie mwenzio nilivyokata likitambi
Hahahaha!!! NN umenikumbusha kuna kitongoji kimoja states wanaishi wamexico kibao...halafu hizo tacos na chalupas hapo ndio kwao umewafikisha...Hiyo description ya tumbo umenikumbusha wadada wa Kimexico. Wale sijui huwaga inakuwaje tu...lazima itakuwa ni zile tacos na chalupas wanazokula.
Unakuta kakunyukia skinny jeans na mtumbo huo unaning'inia utadhani mbuzi mjamzito halafu mwenyewe hajali wala nini.
Kuhusu huyo wako, kama ni mvivu kufanya mazoezi na kama hana motivation yoyote ile anaweza akaangalia utaratibu wa gastric bypass surgery au liposuction.
Ila hilo wigi duuuh!! Hayo madubwasha mi siyazimii kabisa.:A S 13:
Kuhusiana na hilo wigi sijui aisee...ila the rest you can take care of it mpelekee Gym kwani kuachana nae ndio solution..Imetokezea kupendana na msichana mmoja Umri wake unakaribia miaka 28 ,ni aina ya msichana unapokuwa nae utapenda umpeleke kukutana na wazazi au marafiki zako, lakini kuna vitu viwili vinanitatiza na kunipa tabu,kwanza nimekuja kumbabaini anavaa wigi anapoliondowa anaonekana sio yule msichana mwenye mvutio , pili hili ndilo tatizo linanikosesha usingizi, ni tumbo lake kubwa sana na hajawahi kupata mtoto anapotowa nguo tumbo linaondowa hamu yote nafanya nae mapenzi ile basi tu nifanye tu lina mapeto,nimefika mahali siwezi tena kuendelea nae halafu sitaki kumuonesha kuwa ni tumbo lake ndilo lililonifanya niachane nae nashindwa sijuwi nini nifanye sitaki kumtumilia na kumkimbia, ninachokuombeni hapa nisaidieni nifanye njia gani za kistarabu niachane nae bila ya kumumiza moyoni .
mimi naona wigi ndo tatizo kubwa hapa,mpeni maushauri ,plastic surgery haitosaidia kweli? mbona michael jackson alifanywa mzungu bwana?Kuhusiana na hilo wigi sijui aisee...ila the rest you can take care of it mpelekee Gym kwani kuachana nae ndio solution..
Shauri yako, we endekeza kula tu....yeuwoooomii....kufanya namna hii sio vizuri ujue.....we babu wewe....
mzizi mkavu alisema kunywa maji ya vuguvugu asubuhi lita moja weka asali vijiko vitatu kwa wiki sita
nipo kwenye dozi mimi
sitaki kuazishiwa thread
:lol::lol::lol:Smile wewe....kama ulikuwa hunijui....huyu ndio mimi sasa.....niambie naanzia wapi hapa.....?