Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,850
- 87,032
Nimejikuta hili tatizo linaongezeka tu.
Yaani nikiwa nimelala napaliwa na mate kaisi kwamba nashindwa kupumua kabisa! as if nakata network baada ya hapo itanichukua muda sana hadi kuja kutulia na kupata usingizi tena.
Nimebadilisha style za kulala lakini bado sioni dalili. Haitokei kila mara ila ikitokea hua inaninyima raha sana na inaonekana tatizo hili linaongezeka kila siku. Hua nashindwa hata kupumua kabisa. Ni hali ya hatari inayonitisha sana, nisaidieni Wapendwa