Nisaidieni jamani hii nyumba ndogo siielewi.


aisee anko mbona unakuwa kama ****??kwani umeshindwa kupiga ambush hapo muda ambao unajua yupo home??mfano unamdrop saa mbili usiku then unapiga ambush saa tano usiku...
alafu we mbona unakuwa kama mtoto pamoja na kuwa umeoa hujui dalili za kufanywa buzi la kutimiza haja za demu bana unamtoa kila kitu alafu anakufanyia vituko??si utulie na mkeo bana au mpaka upate UKIMWI ndo utatulia??
 
hivi we nduka nilikuwa nakuona bonge la mjanja kumbe ovyo'kwani ukitulia na mke kuna shida gani nani alikuambia lazima uwe na small house'tulia mkuu unaweza kabisa kuishi bila nyumba ndogo
 
Remember that stress shorts ua life,,,! so tafadhali rudi kwa mkeo na u comfess...
 

Kwani ATM inahitajika kupata access zote hizo unazotaka wewe?
 
Wanaume fungueni macho yenu, hasa mliooa, msichana hawezi kuwa na wewe peke yako never, na yeye anaota pia kuwa na mwanaume wake wa maisha afunge ndoa azae na watoto, hawezi kukaa na wewe bila kuwa na mahusiano mengine, naongea kwa uzoefu
 
good gal, kama ningemuona ningemwambia aendelee kukutesa labda utaacha ubaki na mkeo,... Huna adabu kabisa, tukushauri uendelee na uzinzi!!!???. Unaidhalilisha MMU, yaan tuanze kujadili mambo ya kishenz kama haya...
 
Huyo hana shida, we ndio umeingia kichwakichwa, follow the rules!
 
acha ulafi wa k wewe utakufa utaacha.mkeo vipi naye bila shaka atakuwa na kidumu
 
mi nkushauri umuache kwanini ujipe presha ya bure. mpende mke wako na umuheshimu! huyo kafata hela, hizo hela zako kama hazina kazi peleka kwa watoto yatima
 
ha ha ha....umenifurahisha hapo kwenye blue mkuu...
Kuna tatizo mkuu hapo...kuna jambo ambalo hajataka kuliweka wazi kwako. huenda anaishi au kuna njemba huwa inalala kwako hivyo anakuwa na wakati mgumu na kumlazimu kuizima simu yake.
Be a gentleman, hayo yote uliyoeleza hapa hebu muulize yeye....kwamba hayo yote yanakukwaza...ila pia tegemea chochote....kama ameshakuvuna cha kutosha na ameridhika tegemea kusikia.."NAONA SASA HUTUAMINIANI HIVYO NAOMBA IWE MWISHO MIM Na WEWE" kwa gia hiyo itaonekana wewe ndo umemwaga mboga na ugali mkuu. do it very professional atajikuta anajichanganya mwenyewe anajieleza mwanzo mwisho. ila kama haupo tayari kumpoteza kwa sasa vumilia vumilia as time goes mambo yatajiweka hadharani yenyewe. othersiwe plus or minus tegemea
 
wewe una nyumba kubwa,sasa ndogo tena ya nini?jamani tumuogope mungu
 
amua moja kusuka ama kunyoa.kuwa na mkeo au huyo malaya.kwanza naomba uelewa kwa mazingira hayo tayari ana mtu hivyo hataki ufike kwake kwani ana mtu anayempenda ambaye anaruhusa ya kufika kwake.hivyo ukiamua kuwa naye tambua kwamba mpo zaidi ya wawili.Pia usifuatilie mambo yake kwa karibu.
 
good gal, kama ningemuona ningemwambia aendelee kukutesa labda utaacha ubaki na mkeo,... Huna adabu kabisa, tukushauri uendelee na uzinzi!!!???. Unaidhalilisha MMU, yaan tuanze kujadili mambo ya kishenz kama haya...
Zimwintu,umeoa? Una ndoa ya miaka mingapi? Nauliza hivyo maana nashangaa unavyotumia neno 'ushenzi'? Hivi kuwa na nyumba ndogo ni ushenzi? Una uhakika?
 
Nakushauri achana nayo, mrudie mke wako mpendwa. Nyumba ndogo si jawabu la matatizo ya ndoa yenu bali ni tatizo.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…