Nisaidieni: Iphone 5 yangu haiwaki tena

Nisaidieni: Iphone 5 yangu haiwaki tena

teledam

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Posts
927
Reaction score
1,239
Ni siku ya pili leo simu yangu hai-boot zaidi ya kuonyesha alama ya apple tu,yaani hapa ndipo mwisho wake wa kuwaka.

kwa yeyote mwenye ujuzi/utaalam anipe maelekezo ya kufuata ili niinusuru simu yangu kwani bado sijaichoka.

nakaribisha michango na maelekezo
 
Ushauri kama una vifaa ifungue alafu detach battery kwa uangalifu na uifunge tena itawaka bila shaka
 
Na mkome na mikwara yenu humu jf eti mnatumia simu bora na gharama kubwa, haya mwambie tena shemeji ako wa Omani akutumie nyingine hiyo imebuma mjomba ( sorry for a bitter statement)
 
Hiyo ni Kazi kidogo! Usiwe na wasi, nipe no: yako kama una Whatsapp Harafu tulonge, niusaidie!
 
Ni siku ya pili leo simu yangu hai-boot zaidi ya kuonyesha alama ya apple tu,yaani hapa ndipo mwisho wake wa kuwaka.

kwa yeyote mwenye ujuzi/utaalam anipe maelekezo ya kufuata ili niinusuru simu yangu kwani bado sijaichoka.

nakaribisha michango na maelekezo
Ebu eleza kidogo nini kilitokea mpaka imekuwa hivyo, maana kama inaishia hapo kwenye logo kwa mawazo yangu ni tatizo dogo.
Fanya kudownload ipsw file la iphone 5 kwenye pc hopefully itakuwa ios 9.3.2 ndiyo ya mwishi kwa simu yako.
Bonyeza hapa kudownload kwenye pc yako http://appldnld.apple.com/ios9.3.2/...D8400DF7EB/iPhone5,1_9.3.2_13F69_Restore.ipsw
Then chukua simu yako izime chomeka usb kwenye pc bila kuchomeka simu.
Fungua itunes kwenye pc then hold home button ya iphone yako kisha ukiwa umeihold plug in ule upande wa usb kwenye simu.
Simu itawaka ikiwa kwenye DFU mode, na itakuwa detected kwenye itunes.
Hapo sasa hold ctrl button then click update/restore, kwenye itunes, itafunguka window inayokuta u locate ulipoweka ipsw file ulilodownload.
Liselect then, kaa utulie simu wakati inakuwa restored.
Subiri mpaka mwisho simu itakapo jirestart ikiqa nzima.
Zoezi linaweza chukua kama dakika 20 mpaka kurestore.
All the best
 
Backup simu imezima jaman.

Au kuna ujanja wa kufanya.
simu kutowaka sio sababu ya kushindwa kufanya backup
muhimu in simu isomeke kwenye komputa via iTunes

inaonekana haupo na PC karibu
simu yako ni nzima ila inatatizo LA software ambalo litamalizwa kwa kufanya restore kupitia iTunes kwenye kompyuta

mdau kakuelekeza vizuri hapo juu
 
ndiyo hizi, kwani kitu kuwa bora ndiyo hakiwezi kupata dosari yoyote?
 
Back
Top Bottom