Nisaidieni: Iphone 5 yangu haiwaki tena

Nisaidieni: Iphone 5 yangu haiwaki tena

una PC yenye iTunes?
Mkuu na mimi naomba msaada yangu iPHONE 6 haijamaliza hata miezi 6 ghafla imezima.Mwanzoni ilikuwa inawaka inaishia Apple logo but sasa haiwaki kabisa na haiwi detected kwenye iTUNE.
 
Wakuu na mimi nina iPHONE 6 yangu,haijamaliza hata miezi 6 wiki iliyopita imezima ghafla ikawa inaishia kwenye Apple logo..baadae haiwaki kabisa wala haiwi detected kwenye iTUNES.Nimeshakata tamaa labda kama kuna mwenye uelewa wa hili ninaomba msaada.
 
Ni siku ya pili leo simu yangu hai-boot zaidi ya kuonyesha alama ya apple tu,yaani hapa ndipo mwisho wake wa kuwaka.

kwa yeyote mwenye ujuzi/utaalam anipe maelekezo ya kufuata ili niinusuru simu yangu kwani bado sijaichoka.

nakaribisha michango na maelekezo
Kanunue tecno mkuu
 
Wakuu na mimi nina iPHONE 6 yangu,haijamaliza hata miezi 6 wiki iliyopita imezima ghafla ikawa inaishia kwenye Apple logo..baadae haiwaki kabisa wala haiwi detected kwenye iTUNES.Nimeshakata tamaa labda kama kuna mwenye uelewa wa hili ninaomba msaada.
Ukiichomeka kwenye chaji inafanyaje au hairespond kabsa?
 
Ukiichomeka kwenye chaji inafanyaje au hairespond kabsa?
Haioneshi kitu kaka..in short haioneshi kama ina chaji ila ukigusa kichwa cha chaja ni cha moto kuonesha kuwa simu inapokea moto japo display ndio haioneshi.
 
Haioneshi kitu kaka..in short haioneshi kama ina chaji ila ukigusa kichwa cha chaja ni cha moto kuonesha kuwa simu inapokea moto japo display ndio haioneshi.
Usha jaribisha kutumia charger tofaut...
Ama hold home button na button ya kuwasha kwa pamoja uone kama itashtuka
 
Back
Top Bottom