Nisaidieni Huu Ubishi

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,097
53,485
Hivi Usain Bolt akiamua kukimbia kinyumenyume na wewe ukakimbia kama kawaida.

Je, Utamshinda? Kwanini?
 
Kwa sababu miguu imeelekezwa mbele kwa ajili ya kutembea nq kukimbia
 
Ndiyo.

Kwa sababu yeye katanguliza Wowoo wakati mi nimetanguliza dudu.

0713 lazima siku zote awe wa nyuma...
 
Kwakua ubongo unaodhibiti mwendo ni kama umepangwa kudhibiti mwendo wa kusimama, kwenda mbele kwa kasi au kwa kasi ya kawaida au chini, kinyume na hapo ni kuutingisha na kuhisi kizunguzungu hiyo inamaanisha baada ya umbali fulani Bolti atahisi kizunguzungu.

Na kwakua miguu haina shepu ya kukufanya ukimbie kinyume nyume kwa kasi huku ukiwa comfortable basi baada ya umbali fulani Bolti ataanguka.

Na kwakua binadamu tunapokimbia mikono yetu jinsi inavyoenda mbele na kurudi nyuma ndivyo inavyoamua kasi yako hiyo inamaanisha kwa kurudi nyuma Bolti hatokua na kasi kama angekua anakimbia kwa kwenda mbele. Hivyo atakua na kasi ndogo sana.

Ushindi ni dhahiri.
 
Lazm umuach yul ambaye anakimbia kinyumex2 maaan yy han balance ZR ya kukimbia ww vp nawe?
 
Back
Top Bottom