hapana.
si lazima itoke japo mara nyingi inatoka.
kuna mambo mengine hapo husababisha isitoke na ikabaki kuwa kweli mwanamke alikuwa bikira. mfano
1. ukubwa wa kifaa cha mwanaume,
2. athari za mazoezi ya viungo aliyopata mwanamke kama alikwa mwanamichezo,
3. kiwango cha majimaji ya ukeni wakati wa kujamiiana (wengine ni wakavu ama hawajaandaliwa vizuri),
4. saikolojia ya mama. mfano ukimbaka, anaweza kuwa si bikira na bado damu ikatoka,
5. muundo wa ndani wa uke, nk.
hivyo msipotoshe mambo