Nisaidieni e-bay online shopping

Nisaidieni e-bay online shopping

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
wazito natumain ni wazima, ni muda mrefu sasa nmekuwa nikifanya window shopping ebay bila kufanikiwa kununua hata bidhaa moja. Najua tu kutakuwa kuna watu ambao wana uzoef na haya mambo. Well kiufup naomba procedure za kufanikiwa kuleta mzigo bongo toka ebay mi npo arusha
 
kwanza fungua account, pili unatakiwa uwe na utaratibu wa kulipia bidhaa unayo nunua , PAYPAL ni njia nzuri kushinda zote kwani ina usalama zaidi huwezi kutapeliwa,Baada ya hapo fanya shopping yako kitu cha msingi angalia mtu unayefanya nae biashara feedback yake ikoje , mbaya au nzuri ,:lock1:
 
Back
Top Bottom