Nisaidien juu ya cloud account


M

mbwinde

Member
Joined
Dec 6, 2013
Messages
11
Likes
0
Points
0
M

mbwinde

Member
Joined Dec 6, 2013
11 0 0
Ni account gani ys cloud ambayo naweza fanya back up ya picha na namba za sim pia nika ifungua kwenye computer yangu ns ku brouse data zangu na kuzi print
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,424
Likes
9,333
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,424 9,333 280
tumia skydrive kaka ina app ya desktop na pia utapata kwa simu kama una android au windows phone. hii ni kama una pc yenye windows.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,424
Likes
9,333
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,424 9,333 280
Imekubali laki contact zangu imegoma
contact hazikubali kwa skydrive unaweza tumia outlook au service ya simu yako mfano nokia pc suite au samsung kies.
 

Forum statistics

Threads 1,250,739
Members 481,468
Posts 29,743,643