Nisaidie ukiweza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidie ukiweza

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by cashmoney, Jan 20, 2012.

 1. c

  cashmoney Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari GT,
  Nina uhitaji wa kiasi cha Tsh laki tano...naomba kwa yoyote muaminifu, mwenye uelewa na mwenye uwezo wa kunikopesha ama kuniazima anisaidie nitamrejeshea baada ya mwezi mmoja.

  Nitumie private message ama nipigie kupitia 0657101214
   
 2. Buggy

  Buggy JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mie niko na hiyo hela, ila utarudisha na RIBA? au .....
   
 3. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Tafadhali nipatie mchanganuo ndipo nitakupa jibu
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  if it was that much easy ..... mmhhh!
   
 5. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  It's your lucky day! I happen to be related to a Nigerian prince, and get this - he was just asking me about giving away 1000 dollars exactly today! Just need your bank accounts details. For security's sake, you can just email him your account number so he can wire it to you. Is that cool? (im kidding).


  Just find a way to get 1000 people to give you 500Tsh each (SELL SOMETHING). OR use your social capital. Good luck.
   
 6. b

  bagamoyo1 Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  HUJAELEWEKA HIVI UNATAKA ANYEKUKOPESHA AWE MWAMINIFU , na sio wewe kuwa mwaminifu ,hivi unaishi karne gani wewe
   
 7. o

  odunga New Member

  #7
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana ukata huu!!!!!
   
 8. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yaani nikutumie PM au nikupigie ili nikukopesha na hata hujasema kama hiyo hela utarudisha kwa interest, sidhani kama dunia ya sasa inawasamaria wa hivi. Ungesema unataka kukopa laki 5 na utalipa kwa riba ingekuwa rahisi zaidi kwa sababu kuna watu wana vimicrofinance vyao and they are looking for customers like you.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hahahahahaha! Anashangaza sana.
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  spill the rice please
   
 11. c

  cashmoney Member

  #11
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama unaweza kunikopesha ama kuniazima kwa riba ni sawa (ila isiwe kubwa) au ukinisaidia bila riba nitashukuru zaidi. Kwenye makubaliano, mikataba ama makabidhiano ya biashara uaminifu unahitajika pande zote sio tu anayepokea bali hata anayetoa. Nilitaka waliotayari kunisaidia wanitumie private message au kunipigia simu kwa kuwa sikutaka kuendeleza thread ya msaada kama huu kwa wengine. Nakubali kusahihishwa pale nitakapokosea.
   
 12. b

  bagamoyo1 Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jielezee kwanini ukopeshwe ??? nahiyo pesa unaitaka kufanyia shughuli gani , na itakupa faida gani

  hizi ni procedure za kipesa unapotaka pesa popote lazima uzujibu

  LABDA KUNA MTU ANAWEZA KUKUSAIDIA , WASWAHILI WASEMA UKIFICHA U... HUZAI
   
 13. mutu ya watu

  mutu ya watu JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 213
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mi niko tayari kukukopesha hiyo hela lakini kwa mashariti yafuatayo 1. lazima uje na wadhamini wenye kipato watatu 2. utarejesha hiyo hela pamoja na riba 10%
   
 14. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  LAT nakutafuta kama mtuhumiwa. Please give a a call.
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  done ,.. ?
   
 16. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  huyu jamaa ana uhitaji ila kwa mazingira haya ataambulia 'majibu'.
   
 17. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,223
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280

  Kuna watu wenye moyo wa tofauti na watoa maoni wa hapo juu, watakuwa washamsaidia jamaa huyu. Naamini ana marafiki wazuri tu JF
   
Loading...