JIGOKU IKAYA
Member
- Apr 29, 2017
- 38
- 45
Wanajamvi habariiii.....,. Mi kuna jambo linanisumbua. Eee bana natamani wanawake walionizidi umri. Nina miaka 26 tu. Wanawake 35-45 nawazimia sana. Lakini sina ujasiri wa kuwatokea kwa sababu nawaheshimu kwa umri wao. Kutoka MOYONI nawapenda mno. Wanajamvi naomba mwenye uzoefu na hawa anipe mbinu za kuwanasa. Natafuta mmoja tu kiu yangu tosha kabsaaaa. Karibuni.