Nisadieni ndoa yangu inavunjika

Waarabu na wazungu wametutia upofu na ujinga ambao hatuwezi kujinasua. Wenyewe kuna vitu wameleta lakini hawavifanyi huko kwao.

Maisha ya kuunga lakini unajibebesha mizigo ya kujitakia. TV, cable unanunua kwa kuunga then unadhani tayari pesa imekupitia.

Hizi imani...
 
Watu kama nyinyi siku zote mnataka kuhalalisha utashi wenu kwa kisingizio cha kuwa dini inaruhusu.
Jee yale mambo ambayo dini inakataza tunayafuata??? Haingii akilini kwa kuwa kwa yale ambayo ni utashi wenu mnayatilia nguvu lakini yale ya utashi wa mungu kwetu hatuyatilii maanani na hii maana yake ni UNAFIKI MTUPU na kesho kwa mola tutaipata fresh na hakuna rufaa.
 
Inawezekana
Ulioa kwa kuwa dini inaruhusu na si kwa sababu ya msingi ndo maana kuna shida hata kwako pia ushauri wangu hayo uliyapenda so fanya juhudi za kupatana na wote ili usimkosee yeyote na uwapende wote kwa usawa kwan kuzidisha kwa mmoja hutatenda haki.pia kaa na watu wenye wake wengi waulize wanamuduje hilo suala pole sana.nichangamoto ndogo sana.
 
Samahani mkuu, Hivi kwa nini waisilamu wenye asili ya kiarabu huwa hawaoi wake wawili au zaidi hovyo?, mara nyingi naona waislamu wenye asili ya kibantu ndo kutwa kuongeza wake.
Mila na desturi za kiafrika.
 
Trump! Trump! Trump njoo hukuuu umsikie huyu..
 
Kwanza unatenda dhambi dini inataka uwapende wote sawa, jambo zuri n kuongea n mke mkubwa tu ,ww mweke chini kwa sababu ishatokea hamna tena jinsi nyingine
 

Kaka ni udhaifu mkubwa kukubali kumuacha mkeo kisa maneno ya bi mkubwa hiyo ni nguvu ya soda onyesha uanaume wako na vipi huyo mtoto wa watu ukimuacha huoni ni doa kibwa kwake acha mambo hayo usiwe dhaifu kama ataamua kuondoka aondoke yy wewe kikubwa ni kua muadilifu tu kwa wote wawili
 
We lazima utakua mswahili mnawaza k.... tu!!
Kuna mswahili alitaka kumuoa dada yangu nilichokifanya ni kumuwaisha mbele ya haki tu maana sikua na jinsi ya kumsaidia ndugu yangu
 
Ila mambo mengine kwakweli duh[emoji15]! Hivi ulioa mke wa pili kwasababu kipato kimeongezeka? Imani inaruhusu? au kweli kuna ulichokosa kwa huyo wa kwanza ambacho unakipata kwa wapili? Yaani umepata tu kazi ukaongeza mke je hao watoto watakaozaliwa utamudu kuwapatia huduma muhimu ikiwemo elimu bora huku ukilea wake wawili? Nadhani baadhi ya wanaume mfike mahali mpunguze ubinafsi! Pamoja nakuwa imani inaruhusu kuoa wake zaidi ya mmoja ufikirie zaidi ya hiyo starehe utakayopata toka kwa hao wanawake! You need to see beyond having two or three women sitting around all paying attention on your happiness[emoji19] !
I'm sorry if my comment offends you!
 
Dah ... bora mkeo ana mke mwenza 1 tu. Kuna wengine wanawenza (michepuko) zaidi ya hamsini [emoji481] [emoji481] [emoji4] [emoji4]
 
Dah kweli bana, akomae kiume atatusua tu. Ugumu wa maisha ndiyo kipimo cha akili[emoji4]
 
Ukome kabisa Wwke wawili WA nini , chepuka Tu Inatosha . Afu unaoa kisa Una ajira au dini inaruhusu !?
 
Duh umepata uwezo wa kununua fridge na Tv tu umeongeza mke wa pili siku ukipata uwezo wa kujenga nyumba nadhani utaongeza watatu kwa mpigo, umelikoroga acha ulinywe taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…