Nirushie vocha!

mimi huwa ukibeep ,i beep u back,uzoefu umenionyesha kuwa anayekubeep,ukimbeep kila mara anapokubeep,huwa anapiga na kuongea kwa hasira ,baada ya hapo huwa hawarudii tena kukubeep.

jaribu kufanya hivyo utaona mafanikio yake.
 
mmh..mi ningependa nikutane na wa ivo

ha ha ha ha ILI ???,

kusema kweli inakera sana, sasa sijui ni tabia tu ya kupenda kuombakuomba?, AU
ni umasikini na kupenda kumiliki kitu ambacho hauna uwezo nacho wa kukihudumia??
Raha ya hudumu uhudumiwe pasipo kuomba ,ila huduma ya kuomba mimi inanichefua sana, na knn kila siku uhudumiwe wewe tuuu??,aah inabore sana.

Na ukiwa na tabia ya kuomba kuomba au kubeep kwa ajili ya kuomba ipo siku unaweza kubeep kwa jambo la maana na mtu akakupotezea ,kwa hisia kuwa aah huyu ananibp ili kuniomba vocha ,kumbe siku hiyo ni tofauti una jambo la maana na muhimu la kumwambia, ukakosa kusikilizwa.
HAIPENDEZI MACHONI,MASIKION,PUANI......ACHENI KUBEEP NA KUOMBAOMBA VOCHA KAMA HUWEZI KUIHUDUMIA SIMU USIIMILIKI.

KIBOGOYO MFUPA WA NINI????.................................
 
ningekuwa naweza kung'ang'ania ningejitolea. Lol!

Njoo labd autajifunza,,, learning is a process, LOL....BUT the fact kwamba huwezi kung'ang'ania inaonyesha ukomavu flani ivi wa akili.:love:
 
ha ha ha ha ILI ???,

kusema kweli inakera sana, sasa sijui ni tabia tu ya kupenda kuombakuomba?, AU
ni umasikini na kupenda kumiliki kitu ambacho hauna uwezo nacho wa kukihudumia??
Raha ya hudumu uhudumiwe pasipo kuomba ,ila huduma ya kuomba mimi inanichefua sana, na knn kila siku uhudumiwe wewe tuuu??,aah inabore sana.

Na ukiwa na tabia ya kuomba kuomba au kubeep kwa ajili ya kuomba ipo siku unaweza kubeep kwa jambo la maana na mtu akakupotezea ,kwa hisia kuwa aah huyu ananibp ili kuniomba vocha ,kumbe siku hiyo ni tofauti una jambo la maana na muhimu la kumwambia, ukakosa kusikilizwa.
HAIPENDEZI MACHONI,MASIKION,PUANI......ACHENI KUBEEP NA KUOMBAOMBA VOCHA KAMA HUWEZI KUIHUDUMIA SIMU USIIMILIKI.

KIBOGOYO MFUPA WA NINI????.................................

hahaha ILI tung'ang'aniane, manake aking'angania vocha, mi nang'ang'ania vingine mkuu.....

nimeipenda iyo, "Kibogoyo mfupa wa nn"
 
na yeye mng'ang'anie??? ,hiyo safi sana, naamini inaweza ikawa ndiyo mwisho wake wa yeye kuwa king'ang'anizi....
 
Tatizo ni kujua yupi maskini yupi tajiri, yupi wa masaki yupi wa kigogo... teh teh teh...[/QUOTE

mi nadhani tabia ya kuomba omba ni hulka ya mtu haijalishi hali ya kimasikini au kitajiri..
 
Nakubaliana na wewe nnunu, ni hulka tu, na kuendekeza dhiki au kupenda kutumia vya mwingine vyako vina budget!
 
Kwa kweli swala la kuombwa vocha linachefua sana na ni kujiendekeza.... tabia tegemezi! Na ukizoea tabia hiyo utajikuta hata kama una credit 10,000 kwenye simu yako basi uta bip!!!
 
Back
Top Bottom