Niraidie jamani kwa hili,.nahitaji sana msaada!.

Ngogi

New Member
Mar 27, 2012
3
1
Habar wanajamii?,mi ni kijana wa kiume na mtanzania. Nimehitim digrii ya uhasibu(bachelor of Accountancy-2011) pia nina uzoefu wa miaka miwili as CASHIER,naomba yeyote mwenye nafasi ya kazi anisaidie maana maisha tight jamani. Asanteni.
 
Yani umemalza shule mwaka 2011,afu leo tayar una uzoefu wa 2yearz?acha fix kijana
 
Habar wanajamii?,mi ni kijana wa kiume na mtanzania. Nimehitim digrii ya uhasibu(bachelor of Accountancy-2011) pia nina uzoefu wa miaka miwili as CASHIER,naomba yeyote mwenye nafasi ya kazi anisaidie maana maisha tight jamani. Asanteni.

acha usanii wewe! Usihesabu vi tempo ulvyofanyaga mwaka wa kwanza ukasema experience...anzia baada ya kuhitimu!
Hiyo degree ya MAHESABU cjui umeipataje....haya UE hiyo hapo chini!!
2012-2011= ....!!?????
 
nilisoma certificate ya uhasibu then nkafanya kazi as cashier miaka miwili halafu ndo nkaenda kusoma degree,sio fix other wise nielimishwe zaidi kuhusu masuala hayo ya experience
 
hebu mkuu fafanua vizuri cjakupata!certificate to degree?!au kuna ki2 umesahau hapo katikati?
 
hakuna kilichosahaulika nadhani,inawezekana kbs kujiunga na digrii kama una certificate kwa udahili wa mature entry system...msaidieni ombi lake kama mna uwezo bwana.
 
Back
Top Bottom