nipples discharge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nipples discharge

Discussion in 'JF Doctor' started by waleoleo, Sep 17, 2012.

 1. w

  waleoleo Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msaada jaman mziwa kutoka wakati mtu si mjamzito husababishwa na nin?
   
 2. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  i think inahusika na hormones za kike kuwa labda haziko na uwiano niseme....ngoja wenyewe waje
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Inaweza kuwa ni hormones inbalance. Kuna umuhimu wa ku-rule out cancer, manake hiyo inaweza kumaanisha una ductile papilloma (inakuwa na 5% chance ya kuendea kwenye kansa miaka hata 10 baadae).
  Cha kufanya ni kuonana na breast surgeon, naweza kukupa namba ya mmoja wa muhimbili. Utafanya breast cytology baada ya kufanyiwa physical check kuona kama una uvimbe wowote. Ni kipimo rahisi tu bila maumivu, maziwa yanakamuliwa kwenye slide na kuchekiwa maabara.
  Una tabia ya kufanya uchunguzi wa matiti yako kila mara? Ni utaratibu mzuri wa kujizoeza.
   
Loading...