hongera sana bestito tutafuata nyayo zako ondoa shaka kwa hilo Kaizer
je utakuwepo kwenye tamasha la furaha music award na je nikulist kwenye list ya wale watakaowania tuzo ya mshindi siku hiyo tarehe 6 july? sema basi niweke hapa kwani tunahakiki sasa majina na nyimbo ukitaka kutuma wimbo wako niPM ili walimu na majaji waanze kazi yao fanya sasa ujachelewa
Umenipa hasira
nitalipia siku za karibuni.
hoja hii imeungwa mkono??????
huu ndio wivu unaotakiwa!!!!!!!