lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,160
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Story pembeni nimestaafu rasmi kuandika story, turudi kwenye HARD TALK. LIVE STRAIGHT TALK. Kuondoka kidogo Single ladies mmechezeaje bakoraaaa humu jukwaaanii. Hahahaaaa! Nasikia mmekuwa REDUCED TO NOTHING.
Hahahaaaa! I can feel you hommies. PM kibaoooo Lara umeolewaaa, lara umefunga ndoa umetususaaaa, Lara mambo yako yanakunyookea, Lara tutafutie wachumba (Hahahaaa! Mwenyewe nimeshindwa kujitafutia ndo nitamtafutia mtu sasa).
Basi ile story ya juzi nilijuuuta kuweka ile namba. Ni malalamiko tu i am single, help me, umenipa moyooo sanaa, nimepanic, yaaaaaaani mpaka nikaifutilia mbaliiii. Si mnanijua mi sipendagi ujinga ujinga. Pm sasa ndo balaaa. Nikatamani nirudi kufanya zile kazi zangu ni kazi chafu lakini lazima mtu azifanye kama ile ya marriage is a hypocritical institution Prt 1 mpaka 3.
Ilikuwaaaaa hot hot hot. Those times are gone, as good as they were, they are gone. Sasa wale single ladies and gentlemen nawaletea neno kutoka madhabauni. Si maneno yangu ni maneno ya Scripture. Na kama mjuavyo SCRIPTURE HUPINGWA NA SCRIPTURE. NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK. Twende sawa na Pastor (kama mchezaji ningekuwa wa mkopo) Lara1.
BEING SINGLE IS A GIFT FROM GOD!
Wana ndoa wengi sanaaa na jamiii wanapenda kusimamia hii scripture
He who finds a wife finds what is good and receives favor from the LORD. Provebs 18:22 basi hapa wale wanandoa roho kwatuuuuuuuuuu, ndugu zangu single tuna R.I.P hapo kwenye RECEIVE FAVOR FROM GOD ndo panachoshaaaa sio kidogo.
Wengi mnawaza sasa kama ndo hivo basi we who do not find wives or husbands finds rough/denial/penalty from the lord. Haaaaaaaaaaa! Tobaaaaaaaaaa! Tumekwishaaaaaaaaaa. Sasa kama maandiko ndo yanasema hivo kimebaki nini tena. Maana kama kanisani ndo tunasema HILO NDILO NENO LA MUNGU (In Roman catholics voice)
Neno HALISEMI HIVO HATA KIDOGO. NENO LIMESEMA TU UPANDE WA HE WHO FINDS A WIFE, HALIKWENDA MBELE WALA KURUDI NYUMA KUHUSU HE WHO DOESNT FIND A WIFE OR HUSBAND. Na sisi tunaishia neno lilipoishia.
Biblia hio hio mojaaaa ukienda scripture ya 1 Corinthians 7 (Ikumbukwe kuwa hii ilikuwa barua ya kwanza Ya Mtume Paul kwa Wakorinto. Na katika jamii zote katika agano jipya kuanzia Ephasians/Waefeso, Galatians/Wagalatia Philippians/Wafilipi, collosians/wakolosai, Thesalonians/Watesalonike hawa Wakorinto walikuwa jeuriiiiii mnooo na kibriiiiii haswaaa, hawakuwa wepesi wala watu wa mchezo mchezooo.
Kma unajiona Nunda ujue kama kwa hawa Wakorintho unajaribu jaribu tu. Mtume Paul alihangaika mnoo mnoo na hawa Wakorintho. Ukisoma Matendo ya Mitume/ACTS 18:6-17 Utaona jinsi gani Mtume Paul alitaabika na wakorintho. Kwa hio maneno aliotamka msiyachukulie kiwepesiii na sababu wakorito hawakuwa watu wepesi basi ni sababu zaidi ya kuyaongezea uzito.
1 Corinthians 7:
Now, getting down to the questions you asked in your letter to me. First, Is it a good thing to have sexual relations?
Tuanze nyuma kidogo mstari wa 2-6 "Certainly—but only within a certain context. It’s good for a man to have a wife, and for a woman to have a husband. Sexual drives are strong, but marriage is strong enough to contain them and provide for a balanced and fulfilling sexual life in a world of sexual disorder. The marriage bed must be a place of mutuality—the husband seeking to satisfy his wife, the wife seeking to satisfy her husband.
Marriage is not a place to “stand up for your rights.” Marriage is a decision to serve the other, whether in bed or out. Abstaining from sex is permissible for a period of time if you both agree to it, and if it’s for the purposes of prayer and fasting—but only for such times. Then come back together again. Satan has an ingenious way of tempting us when we least expect it. I’m not, understand, commanding these periods of abstinence—only providing my best counsel if you should choose them."
Mstari wa 7 ndo anatoa ile kwa sasa tunaweza sema ni MILLION DOLLAR STATEMENT
7:"Sometimes I wish everyone were single like me—a simpler life in many ways! But celibacy is not for everyone any more than marriage is. God gives the gift of the single life to some, the gift of the married life to others." Si maneno yangu hayoooo kabisaaa ni maneno ya MTUME PAUL. (Scripture hupingwa kwa scripture)
Mtume Paul (si mimi huyooo akhaaaaaa) akamaliza kabisaaaaaaaaaa mstari wa 8 mpaka wa 9. Aligongelea msumariii wa motoooo kwa maneno haya.
8-9 "I do, though, tell the unmarried and widows that singleness might well be the best thing for them, as it has been for me". weraaaaaaaaaaaaaa oyooooooooooooooo Mtume Paul katamka hajatamka? ( Scripture hupingwa na Scripture, No scripture no right to speak). Hapa wabongo ndo panawashinda kwao there is only one and only one picture. Kivipi sasa wakati Mtume keshajibu tena kwenye barua.
Ila ikumbukwe Mtume huyuuu huyuu Paul alikataza zile FUNGULI MBWA, basi sababu single ndo unagawa kila kona, kila mtaaaa, hataaaa. Alikataza kabisaaaa. Akasema wazi kabisaaa kama huwezi OLEWAAAAAAAA tena haraka kuliko upesi. Tuachie tunaowezaaa. "But if they can’t manage their desires and emotions, they should by all means go ahead and get married"
Sasa basi Mtume huyu huyu Paul ambae tunaenda nae sawaaa tangu juuu akahitimisha jambo ambalo mwenyewe limeniacha kinywa waziiiii, nusura nimeze nzi. Naweza kusema hii statement ni pants dropper, like sikuitegemea kabisaa toka kwake. Ila kama mjuavyo KILICHOANDIKWA KIMEANDIKWA. Hitimisho ni hili
Corinthians 7:28 "But there’s certainly no sin in getting married, whether you’re a virgin or not. All I am saying is that when you marry, you take on additional stress in an already stressful time, and I want to spare you if possible." JACKPOT BINGO! Si maneno yangu hayoooo ni maneno ya Mtume Paul mwenyeweee kwenye barua yake ya 1 kwa Wakorinto.
Hiki kitabu cha Wakorinto ni kirefu sanaaa, na kina barua 1 na ya 2 ni bora ndugu mkristo kwa muda wako usome barua zote 2, and trust me it gets more interesting kuliko unavodhania. Mambo mengi yanayokusumbua kichwa yameandikwa kabisaaa point blank huna haja ya kuwaza ni kunukuuu tu.
Mimi ni Mkatoliki, kwa hio biblia sijaisoma kanisani kama ndugu zetu wa protetistant, ila nimeisoma darasani kama BIBLE KNOWLEDGE na kuifanyia mtihani na nimeendelea kuisoma mwenyewe tu sema tatizo la kusoma biblia darasani unaisoma kwa kingereza, na ndo maana hata uchambuzi wangu nimeshindwa kuudadavua kwa kiswahili hata scriptures nimejaribu kuzitaja kiswahili ila bado.
Pamoja na hayo juu biblia za kiswahili sizipendelei sanaa maana zina tofautiana sanaa, na zina matabaka, sijui biblia ya walokole, waroma, walutheri, wakatoliki too many distractions na kama umezoea kusoma bible ya kingereza utagundua so much knowledge is lost in translations.
RESOLUTION YANGU YA MWAKA HUU NI KUWALETEA NENO TOKA MADHABAUNI KAMA HIVI, SIJUI NDO NIMEITWA KUIFANYA HII KAZI AU NDO NIMEKUJA MWENYEWE SIJUI, ILA MWAKA HUU NI NENO LA MUNGU KWA KWENDA MBELE.
Resolution ya mwaka jana ilikuwa kuwaandikieni story na natumai mmestorika vya kutoshaaaa, sasa nastaafu kuandika story nawaachia na wengine, huenda nikarudi au nisirudie kuandika story Mungu ndo anajua, for me for now i am done, umri nao umeenda, maisha yamebana ule muda nilokuwa nao wa kushusha pages sahivi sina but ya mbele siwezi kuyajua ikimpendeza Mungu naweza kuwapa moja moja once in a while.
Najua mwanzo mgumu lakini naamini tutaenda sawa tu kama miaka ya nyuma. (Yanii mimi kuja kuhubiri humu ni kama Sauli kutumwa arudi kuwahubiria wale aliowapotosha miaka na miaka. Hahahaaaa. Mwanzo mgumu ila tutafikaaa.
MBARIKIWE WOTE. NI MIMI WENU STREET PASTOR LARA 1.