M Mzee wa Zamani Member Joined May 6, 2026 Posts 33 Reaction score 82 May 7, 2026 #1 Habari zenu, naomba mnipokee. Natumai nitajifunza mengi sana katika jukwaa hili kubwa sana
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 365,902 Reaction score 845,810 May 7, 2026 #2 Ka Mzee wa Zamani said: Habari zenu.. naomba mnipokee.... natumai nitajifunza mengi sana katika jukwaa hili kubwa sana Click to expand... Karibu JF Mzee wa Zamani
Ka Mzee wa Zamani said: Habari zenu.. naomba mnipokee.... natumai nitajifunza mengi sana katika jukwaa hili kubwa sana Click to expand... Karibu JF Mzee wa Zamani
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 13,627 Reaction score 42,724 May 7, 2026 #3 Id yako ya zamani ni ipi?
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 35,581 Reaction score 108,587 May 7, 2026 #4 Bila shaka,wewe Mzee wa Zamani atakufaa sana Binti wa zamani
Binti wa zamani Platinum Member Joined Nov 19, 2011 Posts 13,062 Reaction score 30,637 May 7, 2026 #5 The Icebreaker said: Bila shaka,wewe Mzee wa Zamani atakufaa sana Binti wa zamani Click to expand... Huyu siyo mgeni, ni usanii tu 🙃
The Icebreaker said: Bila shaka,wewe Mzee wa Zamani atakufaa sana Binti wa zamani Click to expand... Huyu siyo mgeni, ni usanii tu 🙃
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 5,317 Reaction score 17,220 May 7, 2026 #6 samahano wew ndo baba ake Binti wa zamani ?
Nyani wa Somanga JF-Expert Member Joined Jan 21, 2026 Posts 369 Reaction score 499 May 7, 2026 #7 Mzee wa Zamani said: Habari zenu.. naomba mnipokee.... natumai nitajifunza mengi sana katika jukwaa hili kubwa sana Click to expand... Mzee wa sasa anakuja lini?
Mzee wa Zamani said: Habari zenu.. naomba mnipokee.... natumai nitajifunza mengi sana katika jukwaa hili kubwa sana Click to expand... Mzee wa sasa anakuja lini?
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 35,581 Reaction score 108,587 May 7, 2026 #8 win-one said: samahano wew ndo baba ake Binti wa zamani ? Click to expand... Samahani wewe una undugu na yule mchekeshaji Bambo?
win-one said: samahano wew ndo baba ake Binti wa zamani ? Click to expand... Samahani wewe una undugu na yule mchekeshaji Bambo?
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 5,317 Reaction score 17,220 May 7, 2026 #9 The Icebreaker said: Samahani wewe una undugu na yule mchekeshaji Bambo? Click to expand... 😆😆😆😆😆 hata sijui nacheka nini ila hiyo O imejiongeza yenyewe
The Icebreaker said: Samahani wewe una undugu na yule mchekeshaji Bambo? Click to expand... 😆😆😆😆😆 hata sijui nacheka nini ila hiyo O imejiongeza yenyewe
Harmful JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 4,725 Reaction score 15,763 May 7, 2026 #10 Karibu Mgeni mwenyeji
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,044 Reaction score 17,705 May 7, 2026 #11 Una madini? Au unatuongezea member wa hovyo kama kina holoholo?
M Mzee wa Zamani Member Joined May 6, 2026 Posts 33 Reaction score 82 May 7, 2026 Thread starter #12 Mshana Jr said: Ka Karibu JF Mzee wa Zamani Click to expand... Asante sana mkuu
M Mzee wa Zamani Member Joined May 6, 2026 Posts 33 Reaction score 82 May 7, 2026 Thread starter #13 The Icebreaker said: Samahani wewe una undugu na yule mchekeshaji Bambo? Click to expand... hahahaha! hapana....
The Icebreaker said: Samahani wewe una undugu na yule mchekeshaji Bambo? Click to expand... hahahaha! hapana....
M Mzee wa Zamani Member Joined May 6, 2026 Posts 33 Reaction score 82 May 7, 2026 Thread starter #14 Nyani wa Somanga said: Mzee wa sasa anakuja lini? Click to expand... mzee wa sasa yupo ila anajiita GEN Z wa bei ya jioni...
Nyani wa Somanga said: Mzee wa sasa anakuja lini? Click to expand... mzee wa sasa yupo ila anajiita GEN Z wa bei ya jioni...
M Mzee wa Zamani Member Joined May 6, 2026 Posts 33 Reaction score 82 May 7, 2026 Thread starter #15 win-one said: samahano wew ndo baba ake Binti wa zamani ? Click to expand... hahaha! ni mimi lakini binti mwenyewe hanitaki kabisa
win-one said: samahano wew ndo baba ake Binti wa zamani ? Click to expand... hahaha! ni mimi lakini binti mwenyewe hanitaki kabisa
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,044 Reaction score 17,705 May 7, 2026 #16 Mzee wa Zamani said: hahaha! ni mimi lakini binti mwenyewe hanitaki kabisa Click to expand... kwa uandishi huu,unaonekana si mgeni humu na ni kijana wa hovyo.
Mzee wa Zamani said: hahaha! ni mimi lakini binti mwenyewe hanitaki kabisa Click to expand... kwa uandishi huu,unaonekana si mgeni humu na ni kijana wa hovyo.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 42,501 Reaction score 124,166 May 7, 2026 #17 Una laki hapo ya haraka ya kukusaidia kuwa Jf-Expert Member ndani ya muda mfupi?
M Mzee wa Zamani Member Joined May 6, 2026 Posts 33 Reaction score 82 May 8, 2026 Thread starter #18 Mobutu JR said: kwa uandishi huu,unaonekana si mgeni humu na ni kijana wa hovyo. Click to expand... Unanizingizia
Mobutu JR said: kwa uandishi huu,unaonekana si mgeni humu na ni kijana wa hovyo. Click to expand... Unanizingizia
M Mzee wa Zamani Member Joined May 6, 2026 Posts 33 Reaction score 82 May 8, 2026 Thread starter #19 Tate Mkuu said: Una laki hapo ya haraka ya kukusaidia kuwa Jf-Expert Member ndani ya muda mfupi? Click to expand... Nieleze faida yake kwanza....
Tate Mkuu said: Una laki hapo ya haraka ya kukusaidia kuwa Jf-Expert Member ndani ya muda mfupi? Click to expand... Nieleze faida yake kwanza....
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 51,583 Reaction score 144,492 May 8, 2026 #20 Mobutu JR said: Una madini? Au unatuongezea member wa hovyo kama kina holoholo? Click to expand... Mambo ya kujiweka kidole puani halafu una lamba The Icebreaker
Mobutu JR said: Una madini? Au unatuongezea member wa hovyo kama kina holoholo? Click to expand... Mambo ya kujiweka kidole puani halafu una lamba The Icebreaker