Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 4,684
- 3,396
Habari za muda huu wana Jf
Awali ya yote tumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema na pumzi aliyotupa hadi muda huu ni muda mrefu kidogo nimekaa na kutafakari kwa kina aina ya Serekali tuliyonayo awamu hii ya Tano Chini ya Rais Magufuli
Watanzania wengi ni mashaidi kwa baadhi ya juhudi za kuibadilisha na kuipeleka nchi katika mwelekeo sahihi wenye usawa kati ya alie nacho na asienacho, wapo watu wanaobeza kwa maana wao wameshiba na kusaza mishahara minono wanaoyopatiwa na kujaribu kuwaonyesha Watanzania masikini hali ya maisha yao imefanana na wao
Mambo ambayo Mh Rais awezi sahaulika katika Taifa hili ni kama yafuatayo
1)Kuondoa misururu ya kodi kwa wakulima na wafugaji na kumpa nafuu katika masoko ya bidhaa hizi
2)Kurudisha angalau Asilimia 70 ya nidhamu ya watumishi wa umma makazini (hili watanzania wa hali ya Chini wanalishuudia)
3)Kuimarisha Miundombinu katika miji na majiji nchini ikiwemo kubadili Dar es Saalam ya foleni (Tazara flyover na Ubungo Flyover) Matarajio ya kukamilika 2019 June ,mradi mpya wa Barabara sita kutoka Kimara mpaka Chalinze ( Upembuzi yakinifu umekamilika)
4)Miradi mpya wa Reli ya kati kutoka Dar es Salaam to Moro -Dodoma hili halina ubishi reli hii ya kisasa inatarajia kukamilika mwaka 2019
5) Jitihada za kufufua viwanda vyetu na ukamilifu wa kuvirejesha kwa wawekezaji wenye tija na kuondokana na waswahili na wababaishaji hili kwa asilimi 70 nampongeza Rais kwa ujasiri wake wa kuifanya serekali yake kuelekea kwenye Dira uchumi wa viwanda
6 ) Kupitia mikataba mibovu ya uwekezaji katika sekta ya madini hili ni pigo kubwa sana mabepari wasio na uchungu katika Taifa hili wapo wanaobeza hili ila katika uhalisia kwa mchimbaji mdogo na Raia wa kawaida ni neema tosha kubwa sana
Haya ni machache ambayo binafsi naapa kuifia nchi yangu kama kijana mzalendo na mpenda maendeleo
Mungu ibariki Tanzania
By
Gilbert Massawe (Joka la Kale)