Nipo tayari kuifia nchi yangu chini ya Mh Magufuli

moshi vijijini

JF-Expert Member
May 14, 2015
3,331
2,000
Habari za muda huu wana Jf
Awali ya yote tumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema na pumzi aliyotupa hadi muda huu ni muda mrefu kidogo nimekaa na kutafakari kwa kina aina ya Serekali tuliyonayo awamu hii ya Tano Chini ya Rais Magufuli

Watanzania wengi ni mashaidi kwa baadhi ya juhudi za kuibadilisha na kuipeleka nchi katika mwelekeo sahihi wenye usawa kati ya alie nacho na asienacho, wapo watu wanaobeza kwa maana wao wameshiba na kusaza mishahara minono wanaoyopatiwa na kujaribu kuwaonyesha Watanzania masikini hali ya maisha yao imefanana na wao

Mambo ambayo Mh Rais awezi sahaulika katika Taifa hili ni kama yafuatayo

1)Kuondoa misururu ya kodi kwa wakulima na wafugaji na kumpa nafuu katika masoko ya bidhaa hizi

2)Kurudisha angalau Asilimia 70 ya nidhamu ya watumishi wa umma makazini (hili watanzania wa hali ya Chini wanalishuudia)

3)Kuimarisha Miundombinu katika miji na majiji nchini ikiwemo kubadili Dar es Saalam ya foleni (Tazara flyover na Ubungo Flyover) Matarajio ya kukamilika 2019 June ,mradi mpya wa Barabara sita kutoka Kimara mpaka Chalinze ( Upembuzi yakinifu umekamilika)

4)Miradi mpya wa Reli ya kati kutoka Dar es Salaam to Moro -Dodoma hili halina ubishi reli hii ya kisasa inatarajia kukamilika mwaka 2019

5) Jitihada za kufufua viwanda vyetu na ukamilifu wa kuvirejesha kwa wawekezaji wenye tija na kuondokana na waswahili na wababaishaji hili kwa asilimi 70 nampongeza Rais kwa ujasiri wake wa kuifanya serekali yake kuelekea kwenye Dira uchumi wa viwanda

6 ) Kupitia mikataba mibovu ya uwekezaji katika sekta ya madini hili ni pigo kubwa sana mabepari wasio na uchungu katika Taifa hili wapo wanaobeza hili ila katika uhalisia kwa mchimbaji mdogo na Raia wa kawaida ni neema tosha kubwa sana

Haya ni machache ambayo binafsi naapa kuifia nchi yangu kama kijana mzalendo na mpenda maendeleo

Mungu ibariki Tanzania

By
Gilbert Massawe (Joka la Kale)
 
TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,628

Na iwe Ulivyonena, Maana hujui Unachosema, Kwanini Usife hata Leo Usiku huu!
 
TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,628
2,000
Ungesoma vyema ukanielewa sio kukurupuka nasubiri mfanye mnachofikiri
Nchii hii itasimamiwa na vijana jasiri wasioyumbishwa na nguvu ya pesa za mabepari
Utumbo Mtupu! Magufuli is a Criminal, Anavunjia Watu nyumba kwa Kuwa hawakumpa Kura na Kwa Kuwa Wengi ni Wachagga, Ubungo, Kimara na Mbezi, Ila, Ikija kwa Mwanza anasema Walimchagua wasibomolewe! Huo ni Uhalifu kupita Wote! Anampandisha Cheo Mtu aliyenunua Madiwani kutoka Ukuu wa Wilaya Kwenda Ukuu wa Mkoa! Unakuja Kumkingia Kakifua? Magufuli ni Mhalifu Hata yeye anajua!
 
niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,559
2,000
Fly over ilikuwa kwenye mkataba toka lini kabla au baada ya Rais kuapishwa? Reli tuliyokuwa nayo ilikuwa na shida gani wakati tumeitumia miaka90 mpaka walipokuja wajanja kuiua? Hii mpya watatembelea angani kwanini asiboreshe hii ya zamani na kuweka utawala bora? Viwonder? Wewe unaandika ungeandikia gazeti la uhuru ili Lumumba wenzio wakupe like. Wakosoaji hawatakuelewa.Anayemkosoa akiandika kwenye gazeti ataishi siku ngapi? Unatamani vitu kuliko utu wa watu na maisha yao? cc. Saa nane, Lissu, Mwenyekiti wa CDM Geita RIP, maiti kwenye fukwe na kwenye mito??????? Vitu na watu kipi zaidi?
 
Kwanza kabisa umejitambulisha ni tu usiekubali ukweli unasahau viongozi wako wa Chama walibweka mda mrefu kuhusu Miradi mipya ya shirika la reli au leo hii unawakana makamanda waliojaribu kujenga angalau choo katika shule ya kata??
Mikataba kuwepo mezani sio itimisho kwa mradi kuanza tukubali Mh Rais anafanya kazi kwa kujitolea kwa moyo wake wote
Chuki na visa juu yake mwisho wa siku mtavuna mbua kama ngedere wa hifadhini
 
  • Thanks
Reactions: Oii

moshi vijijini

JF-Expert Member
May 14, 2015
3,331
2,000
Utumbo Mtupu! Magufuli is a Criminal, Anavunjia Watu nyumba kwa Kuwa hawakumpa Kura na Kwa Kuwa Wengi ni Wachagga, Ubungo, Kimara na Mbezi, Ila, Ikija kwa Mwanza anasema Walimchagua wasibomolewe! Huo ni Uhalifu kupita Wote! Anampandisha Cheo Mtu aliyenunua Madiwani kutoka Ukuu wa Wilaya Kwenda Ukuu wa Mkoa! Unakuja Kumkingia Kakifua? Magufuli ni Mhalifu Hata yeye anajua!
Mahakama za Kimataifa si zipo nendeni mfungue mashtaka au mtapotea njia kama yule mzee ICJ???
Muda mwingine mnakua kama bata wanaogelea kwenye chemba za City bwnaa
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
61,383
2,000
Habari za muda huu wana Jf
Awali ya yote tumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema na pumzi aliyotupa hadi muda huu ni muda mrefu kidogo nimekaa na kutafakari kwa kina aina ya Serekali tuliyonayo awamu hii ya Tano Chini ya Rais Magufuli

Watanzania wengi ni mashaidi kwa baadhi ya juhudi za kuibadilisha na kuipeleka nchi katika mwelekeo sahihi wenye usawa kati ya alie nacho na asienacho, wapo watu wanaobeza kwa maana wao wameshiba na kusaza mishahara minono wanaoyopatiwa na kujaribu kuwaonyesha Watanzania masikini hali ya maisha yao imefanana na wao

Mambo ambayo Mh Rais awezi sahaulika katika Taifa hili ni kama yafuatayo

1)Kuondoa misururu ya kodi kwa wakulima na wafugaji na kumpa nafuu katika masoko ya bidhaa hizi

2)Kurudisha angalau Asilimia 70 ya nidhamu ya watumishi wa umma makazini (hili watanzania wa hali ya Chini wanalishuudia)

3)Kuimarisha Miundombinu katika miji na majiji nchini ikiwemo kubadili Dar es Saalam ya foleni (Tazara flyover na Ubungo Flyover) Matarajio ya kukamilika 2019 June ,mradi mpya wa Barabara sita kutoka Kimara mpaka Chalinze ( Upembuzi yakinifu umekamilika)

4)Miradi mpya wa Reli ya kati kutoka Dar es Salaam to Moro -Dodoma hili halina ubishi reli hii ya kisasa inatarajia kukamilika mwaka 2019

5) Jitihada za kufufua viwanda vyetu na ukamilifu wa kuvirejesha kwa wawekezaji wenye tija na kuondokana na waswahili na wababaishaji hili kwa asilimi 70 nampongeza Rais kwa ujasiri wake wa kuifanya serekali yake kuelekea kwenye Dira uchumi wa viwanda

6 ) Kupitia mikataba mibovu ya uwekezaji katika sekta ya madini hili ni pigo kubwa sana mabepari wasio na uchungu katika Taifa hili wapo wanaobeza hili ila katika uhalisia kwa mchimbaji mdogo na Raia wa kawaida ni neema tosha kubwa sana

Haya ni machache ambayo binafsi naapa kuifia nchi yangu kama kijana mzalendo na mpenda maendeleo

Mungu ibariki Tanzania

By
Gilbert Massawe (Joka la Kale)
Nakutakia kifo chema. Tukuzike makaburi ya wapi?
 
niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,559
2,000
Kwanza kabisa umejitambulisha ni tu usiekubali ukweli unasahau viongozi wako wa Chama walibweka mda mrefu kuhusu Miradi mipya ya shirika la reli au leo hii unawakana makamanda waliojaribu kujenga angalau choo katika shule ya kata??
Mikataba kuwepo mezani sio itimisho kwa mradi kuanza tukubali Mh Rais anafanya kazi kwa kujitolea kwa moyo wake wote
Chuki na visa juu yake mwisho wa siku mtavuna mbua kama ngedere wa hifadhini
Chama gani? Wewe umeongelea chama au mtu? Ungeonglea chama basi tungeenda huko siyo mtu. Mimi sina chama kwa ufahamisho hivyo naweza chambua viongozi wa vyama vyote ila huyu unayemsifia kaua na kujaribu kuua na kupoteza wangapi? Unajali alichofanya siyo aliowaliza? Kila siku wanazika wazee waliobomolewa nyumba Kimara wakati anasema Mwanza wasibomolewe je hakujua kuna wazee walijenga nyumba miaka 60 pale Kimara? Utu huo? Nimezika rafiki mmoja na ndugu mmoja sababu ya huyu unayemsifia na endelea laana zinakuja kama siyo kwako itamfuata mjukuu wako.
 
Mara nyingi sana mnashindwa kuutofautisha ukweli na uzushi
Mradi wa Barabara sita eneo la Kimara Chalinze upembuzi yakininifu umekamilika nategemea mradi kuanza mwaka kesho mapema na kulifanya lango kuu la jiji kuwa na sura halisi

Mh Rais vitendo bila maneno na porojo vinawanyima usingizi wanaoabudu vibabu
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Top Bottom