barnabas masoko
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,298
- 656
Mwanza hawabomolewi tena sababu wamemchagua
Umesaha bandariHabari za muda huu wana Jf
Awali ya yote tumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema na pumzi aliyotupa hadi muda huu ni muda mrefu kidogo nimekaa na kutafakari kwa kina aina ya Serekali tuliyonayo awamu hii ya Tano Chini ya Rais Magufuli
Watanzania wengi ni mashaidi kwa baadhi ya juhudi za kuibadilisha na kuipeleka nchi katika mwelekeo sahihi wenye usawa kati ya alie nacho na asienacho, wapo watu wanaobeza kwa maana wao wameshiba na kusaza mishahara minono wanaoyopatiwa na kujaribu kuwaonyesha Watanzania masikini hali ya maisha yao imefanana na wao
Mambo ambayo Mh Rais awezi sahaulika katika Taifa hili ni kama yafuatayo
1)Kuondoa misururu ya kodi kwa wakulima na wafugaji na kumpa nafuu katika masoko ya bidhaa hizi
2)Kurudisha angalau Asilimia 70 ya nidhamu ya watumishi wa umma makazini (hili watanzania wa hali ya Chini wanalishuudia)
3)Kuimarisha Miundombinu katika miji na majiji nchini ikiwemo kubadili Dar es Saalam ya foleni (Tazara flyover na Ubungo Flyover) Matarajio ya kukamilika 2019 June ,mradi mpya wa Barabara sita kutoka Kimara mpaka Chalinze ( Upembuzi yakinifu umekamilika)
4)Miradi mpya wa Reli ya kati kutoka Dar es Salaam to Moro -Dodoma hili halina ubishi reli hii ya kisasa inatarajia kukamilika mwaka 2019
5) Jitihada za kufufua viwanda vyetu na ukamilifu wa kuvirejesha kwa wawekezaji wenye tija na kuondokana na waswahili na wababaishaji hili kwa asilimi 70 nampongeza Rais kwa ujasiri wake wa kuifanya serekali yake kuelekea kwenye Dira uchumi wa viwanda
6 ) Kupitia mikataba mibovu ya uwekezaji katika sekta ya madini hili ni pigo kubwa sana mabepari wasio na uchungu katika Taifa hili wapo wanaobeza hili ila katika uhalisia kwa mchimbaji mdogo na Raia wa kawaida ni neema tosha kubwa sana
Haya ni machache ambayo binafsi naapa kuifia nchi yangu kama kijana mzalendo na mpenda maendeleo
Mungu ibariki Tanzania
By
Gilbert Massawe (Joka la Kale)
Hapa tanzania maharamia ni wengi zaidi kuliko wapenda nchiSubiri utagundua nani taka kati yangu na wewe poleni sana maharamia wa amanj ya nchi yangu
Akijibu unitag boss wangu ili nione alivyounga nazi kwenye chai.Huyo Malaika wako amekwambia nani yuko nyuma ya barabara mbivu na kivuko kibovu
Hahahahahaa! Huyo ni wa kumwambia "Rest in Advance", uone atakavyoshtuka na kukuuliza... "Shing ngapi babaangu"!Rest in peace moshi vijijini
Hivi vyeo tupo tayar kutembea uchi.Jerry Murro kuna maisha baada ya magufuli acha kujitangazia ujingaSubiri utagundua nani taka kati yangu na wewe poleni sana maharamia wa amanj ya nchi yangu
Hata ya Ikulu poa tu au hata ya Waasisi na mi nizikwe humo??
Au mashujaa wa nchi ikibidi
Yote hayo uliyotaja ndugu yangu si kitu kama ukabila umeanza kumtafuna.Habari za muda huu wana Jf
Awali ya yote tumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema na pumzi aliyotupa hadi muda huu ni muda mrefu kidogo nimekaa na kutafakari kwa kina aina ya Serekali tuliyonayo awamu hii ya Tano Chini ya Rais Magufuli
Watanzania wengi ni mashaidi kwa baadhi ya juhudi za kuibadilisha na kuipeleka nchi katika mwelekeo sahihi wenye usawa kati ya alie nacho na asienacho, wapo watu wanaobeza kwa maana wao wameshiba na kusaza mishahara minono wanaoyopatiwa na kujaribu kuwaonyesha Watanzania masikini hali ya maisha yao imefanana na wao
Mambo ambayo Mh Rais awezi sahaulika katika Taifa hili ni kama yafuatayo
1)Kuondoa misururu ya kodi kwa wakulima na wafugaji na kumpa nafuu katika masoko ya bidhaa hizi
2)Kurudisha angalau Asilimia 70 ya nidhamu ya watumishi wa umma makazini (hili watanzania wa hali ya Chini wanalishuudia)
3)Kuimarisha Miundombinu katika miji na majiji nchini ikiwemo kubadili Dar es Saalam ya foleni (Tazara flyover na Ubungo Flyover) Matarajio ya kukamilika 2019 June ,mradi mpya wa Barabara sita kutoka Kimara mpaka Chalinze ( Upembuzi yakinifu umekamilika)
4)Miradi mpya wa Reli ya kati kutoka Dar es Salaam to Moro -Dodoma hili halina ubishi reli hii ya kisasa inatarajia kukamilika mwaka 2019
5) Jitihada za kufufua viwanda vyetu na ukamilifu wa kuvirejesha kwa wawekezaji wenye tija na kuondokana na waswahili na wababaishaji hili kwa asilimi 70 nampongeza Rais kwa ujasiri wake wa kuifanya serekali yake kuelekea kwenye Dira uchumi wa viwanda
6 ) Kupitia mikataba mibovu ya uwekezaji katika sekta ya madini hili ni pigo kubwa sana mabepari wasio na uchungu katika Taifa hili wapo wanaobeza hili ila katika uhalisia kwa mchimbaji mdogo na Raia wa kawaida ni neema tosha kubwa sana
Haya ni machache ambayo binafsi naapa kuifia nchi yangu kama kijana mzalendo na mpenda maendeleo
Mungu ibariki Tanzania
By
Gilbert Massawe (Joka la Kale)
La hasha, wazalendo tupo mob, maharamia ni wachache wapigaji kelele wazuri mitandaoni, wanaitwaga warriors behind keyboard, ni maoga kama nyumbu ardhini.Hapa tanzania maharamia ni wengi zaidi kuliko wapenda nchi
Siamini kama wewe kweli ni mchaga!! Unasema kuipieleka nchi kwenye usawa, wa maskini na tajiri? Pole sana, subilia huo usawa mpaka Simba atakaporudi!! ( Simba sio Diamond, aaah!! ni yule wa kabila la Yuda.)Habari za muda huu wana Jf
Awali ya yote tumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema na pumzi aliyotupa hadi muda huu ni muda mrefu kidogo nimekaa na kutafakari kwa kina aina ya Serekali tuliyonayo awamu hii ya Tano Chini ya Rais Magufuli
Watanzania wengi ni mashaidi kwa baadhi ya juhudi za kuibadilisha na kuipeleka nchi katika mwelekeo sahihi wenye usawa kati ya alie nacho na asienacho, wapo watu wanaobeza kwa maana wao wameshiba na kusaza mishahara minono wanaoyopatiwa na kujaribu kuwaonyesha Watanzania masikini hali ya maisha yao imefanana na wao
Mambo ambayo Mh Rais awezi sahaulika katika Taifa hili ni kama yafuatayo
1)Kuondoa misururu ya kodi kwa wakulima na wafugaji na kumpa nafuu katika masoko ya bidhaa hizi
2)Kurudisha angalau Asilimia 70 ya nidhamu ya watumishi wa umma makazini (hili watanzania wa hali ya Chini wanalishuudia)
3)Kuimarisha Miundombinu katika miji na majiji nchini ikiwemo kubadili Dar es Saalam ya foleni (Tazara flyover na Ubungo Flyover) Matarajio ya kukamilika 2019 June ,mradi mpya wa Barabara sita kutoka Kimara mpaka Chalinze ( Upembuzi yakinifu umekamilika)
4)Miradi mpya wa Reli ya kati kutoka Dar es Salaam to Moro -Dodoma hili halina ubishi reli hii ya kisasa inatarajia kukamilika mwaka 2019
5) Jitihada za kufufua viwanda vyetu na ukamilifu wa kuvirejesha kwa wawekezaji wenye tija na kuondokana na waswahili na wababaishaji hili kwa asilimi 70 nampongeza Rais kwa ujasiri wake wa kuifanya serekali yake kuelekea kwenye Dira uchumi wa viwanda
6 ) Kupitia mikataba mibovu ya uwekezaji katika sekta ya madini hili ni pigo kubwa sana mabepari wasio na uchungu katika Taifa hili wapo wanaobeza hili ila katika uhalisia kwa mchimbaji mdogo na Raia wa kawaida ni neema tosha kubwa sana
Haya ni machache ambayo binafsi naapa kuifia nchi yangu kama kijana mzalendo na mpenda maendeleo
Mungu ibariki Tanzania
By
Gilbert Massawe (Joka la Kale)
Umetaja mazuri sema na mabaya kila MTU ana mazuri na mabaya yake naona meme yake mengi yanamezwa na mabaya machache anayofanya .Habari za muda huu wana Jf

hana mpinzani hata kwa miaka 50 mpk atembelee mkongojoHabari za muda huu wana Jf