Nipo tayari kuifia nchi yangu chini ya Mh Magufuli

Saivi tupo kanda ya ziwa hata ujikombe vipi hakuna kitu kwenu

Moja ya jambo rahis la kuwaelimsha wapotevu wa Taifa hili ni kukemea ukabila mnaojitangazia Imani yangu kama mtanzania maendeleo ya kweli yanaletwa kwa usawa na kumuunga mkono Mh Rais ni baraka kutoka kwa wana Kilimanjaro wenzangu
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Mara nyingi sana mnashindwa kuutofautisha ukweli na uzushi
Mradi wa Barabara sita eneo la Kimara Chalinze upembuzi yakininifu umekamilika nategemea mradi kuanza mwaka kesho mapema na kulifanya lango kuu la jiji kuwa na sura halisi

Mh Rais vitendo bila maneno na porojo vinawanyima usingizi wanaoabudu vibabu
Huko Moshi kwenu amefanya nini, Bukoba, Mbeya?? Dar ndo nchi watu wanachota maji masaa 5 wewe unaongelea barabara. Angemaliza kero za maji, afya hapo ungemuabudu. Dar????? Badili ID ndo tutakuelewa.
 
Habari za muda huu wana Jf
Awali ya yote tumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema na pumzi aliyotupa hadi muda huu ni muda mrefu kidogo nimekaa na kutafakari kwa kina aina ya Serekali tuliyonayo awamu hii ya Tano Chini ya Rais Magufuli

Watanzania wengi ni mashaidi kwa baadhi ya juhudi za kuibadilisha na kuipeleka nchi katika mwelekeo sahihi wenye usawa kati ya alie nacho na asienacho, wapo watu wanaobeza kwa maana wao wameshiba na kusaza mishahara minono wanaoyopatiwa na kujaribu kuwaonyesha Watanzania masikini hali ya maisha yao imefanana na wao

Mambo ambayo Mh Rais awezi sahaulika katika Taifa hili ni kama yafuatayo

1)Kuondoa misururu ya kodi kwa wakulima na wafugaji na kumpa nafuu katika masoko ya bidhaa hizi

2)Kurudisha angalau Asilimia 70 ya nidhamu ya watumishi wa umma makazini (hili watanzania wa hali ya Chini wanalishuudia)

3)Kuimarisha Miundombinu katika miji na majiji nchini ikiwemo kubadili Dar es Saalam ya foleni (Tazara flyover na Ubungo Flyover) Matarajio ya kukamilika 2019 June ,mradi mpya wa Barabara sita kutoka Kimara mpaka Chalinze ( Upembuzi yakinifu umekamilika)

4)Miradi mpya wa Reli ya kati kutoka Dar es Salaam to Moro -Dodoma hili halina ubishi reli hii ya kisasa inatarajia kukamilika mwaka 2019

5) Jitihada za kufufua viwanda vyetu na ukamilifu wa kuvirejesha kwa wawekezaji wenye tija na kuondokana na waswahili na wababaishaji hili kwa asilimi 70 nampongeza Rais kwa ujasiri wake wa kuifanya serekali yake kuelekea kwenye Dira uchumi wa viwanda

6 ) Kupitia mikataba mibovu ya uwekezaji katika sekta ya madini hili ni pigo kubwa sana mabepari wasio na uchungu katika Taifa hili wapo wanaobeza hili ila katika uhalisia kwa mchimbaji mdogo na Raia wa kawaida ni neema tosha kubwa sana
d9588bb72e4e9c5a1f83c44bc9072d93.jpg

Haya ni machache ambayo binafsi naapa kuifia nchi yangu kama kijana mzalendo na mpenda maendeleo

Mungu ibariki Tanzania

By
Gilbert Massawe (Joka la Kale)
Acha unafiki wewe, utakuwa unajipendekeza tu. Tangu lini maisha ya watu kama wewe yakawa hatarini?
Eti “uifie nchi chini ya Maghufuli”, ukipigana na nani na wakati upande ulioko kuna watu wasiojulikana, achilia mbali wanaojulikana kina Kova, Mambosasa, Bashite et al?
 
Habari za muda huu wana Jf
Awali ya yote tumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema na pumzi aliyotupa hadi muda huu ni muda mrefu kidogo nimekaa na kutafakari kwa kina aina ya Serekali tuliyonayo awamu hii ya Tano Chini ya Rais Magufuli

Watanzania wengi ni mashaidi kwa baadhi ya juhudi za kuibadilisha na kuipeleka nchi katika mwelekeo sahihi wenye usawa kati ya alie nacho na asienacho, wapo watu wanaobeza kwa maana wao wameshiba na kusaza mishahara minono wanaoyopatiwa na kujaribu kuwaonyesha Watanzania masikini hali ya maisha yao imefanana na wao

Mambo ambayo Mh Rais awezi sahaulika katika Taifa hili ni kama yafuatayo

1)Kuondoa misururu ya kodi kwa wakulima na wafugaji na kumpa nafuu katika masoko ya bidhaa hizi

2)Kurudisha angalau Asilimia 70 ya nidhamu ya watumishi wa umma makazini (hili watanzania wa hali ya Chini wanalishuudia)

3)Kuimarisha Miundombinu katika miji na majiji nchini ikiwemo kubadili Dar es Saalam ya foleni (Tazara flyover na Ubungo Flyover) Matarajio ya kukamilika 2019 June ,mradi mpya wa Barabara sita kutoka Kimara mpaka Chalinze ( Upembuzi yakinifu umekamilika)

4)Miradi mpya wa Reli ya kati kutoka Dar es Salaam to Moro -Dodoma hili halina ubishi reli hii ya kisasa inatarajia kukamilika mwaka 2019

5) Jitihada za kufufua viwanda vyetu na ukamilifu wa kuvirejesha kwa wawekezaji wenye tija na kuondokana na waswahili na wababaishaji hili kwa asilimi 70 nampongeza Rais kwa ujasiri wake wa kuifanya serekali yake kuelekea kwenye Dira uchumi wa viwanda

6 ) Kupitia mikataba mibovu ya uwekezaji katika sekta ya madini hili ni pigo kubwa sana mabepari wasio na uchungu katika Taifa hili wapo wanaobeza hili ila katika uhalisia kwa mchimbaji mdogo na Raia wa kawaida ni neema tosha kubwa sana
d9588bb72e4e9c5a1f83c44bc9072d93.jpg

Haya ni machache ambayo binafsi naapa kuifia nchi yangu kama kijana mzalendo na mpenda maendeleo

Mungu ibariki Tanzania

By
Gilbert Massawe (Joka la Kale)
Uifie nchi gani wewe mchumia tumbo... muuze nyumba za umma kwa vimada kisha mujiite wazalendo? Unarekebisha mikataba ipi wakati uliingia mwenyewe! Huyo unayesema anarekebisha mikataba twambie ilipoingiwa alikuwa wapi ? Kisha twambie vipi muingie makubaliano na kampuni ambazo hazijasajiliwa
 
Mi nimeoa kabla baba yako hajajua kutongoza. Wakati wewe unazaliwa mwaka 1994 mi mwanangu wa kwanza alikuwa chuo kikuu. Kuwa na nidhamu we mtoto...

Ukadhani umri ulipo hapo ni wa kwangu kijana mwaka huo mimi nikiwa moja ya waasisi wa upinzani ndio binti yangu anazaliwa jipe moyo bwna mdogo

Hakuna sehemu yenye zulma na utapeli kama Upinzani ni nimeishi upinzani nafahamu kila kitu
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Uzee wako bado aujakukomboa na maumivu ya kikabila na utapeli wa kisiasa unaofanywa na Upinzani
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Habari za muda huu wana Jf
Awali ya yote tumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema na pumzi aliyotupa hadi muda huu ni muda mrefu kidogo nimekaa na kutafakari kwa kina aina ya Serekali tuliyonayo awamu hii ya Tano Chini ya Rais Magufuli

Watanzania wengi ni mashaidi kwa baadhi ya juhudi za kuibadilisha na kuipeleka nchi katika mwelekeo sahihi wenye usawa kati ya alie nacho na asienacho, wapo watu wanaobeza kwa maana wao wameshiba na kusaza mishahara minono wanaoyopatiwa na kujaribu kuwaonyesha Watanzania masikini hali ya maisha yao imefanana na wao

Mambo ambayo Mh Rais awezi sahaulika katika Taifa hili ni kama yafuatayo

1)Kuondoa misururu ya kodi kwa wakulima na wafugaji na kumpa nafuu katika masoko ya bidhaa hizi

2)Kurudisha angalau Asilimia 70 ya nidhamu ya watumishi wa umma makazini (hili watanzania wa hali ya Chini wanalishuudia)

3)Kuimarisha Miundombinu katika miji na majiji nchini ikiwemo kubadili Dar es Saalam ya foleni (Tazara flyover na Ubungo Flyover) Matarajio ya kukamilika 2019 June ,mradi mpya wa Barabara sita kutoka Kimara mpaka Chalinze ( Upembuzi yakinifu umekamilika)

4)Miradi mpya wa Reli ya kati kutoka Dar es Salaam to Moro -Dodoma hili halina ubishi reli hii ya kisasa inatarajia kukamilika mwaka 2019

5) Jitihada za kufufua viwanda vyetu na ukamilifu wa kuvirejesha kwa wawekezaji wenye tija na kuondokana na waswahili na wababaishaji hili kwa asilimi 70 nampongeza Rais kwa ujasiri wake wa kuifanya serekali yake kuelekea kwenye Dira uchumi wa viwanda

6 ) Kupitia mikataba mibovu ya uwekezaji katika sekta ya madini hili ni pigo kubwa sana mabepari wasio na uchungu katika Taifa hili wapo wanaobeza hili ila katika uhalisia kwa mchimbaji mdogo na Raia wa kawaida ni neema tosha kubwa sana
d9588bb72e4e9c5a1f83c44bc9072d93.jpg

Haya ni machache ambayo binafsi naapa kuifia nchi yangu kama kijana mzalendo na mpenda maendeleo

Mungu ibariki Tanzania

By
Gilbert Massawe (Joka la Kale)

Naungana na wewe,amedhibiti mfumuko wa bei,amezuia upandaji wa interest rate,amesimamia bidhaa za ndani na kudhibiti kushuka kwa shillingi.
 
Ungesoma vyema ukanielewa sio kukurupuka nasubiri mfanye mnachofikiri
Nchii hii itasimamiwa na vijana jasiri wasioyumbishwa na nguvu ya pesa za mabepari
Shida na umaskini wako havitapungua kwa kuwachukia wenye fedha na mafanikio...hayo yote ulioyaorodhesha ni wajibu wao kuyatekeleza thats our social contract with them,na kuyatekeleza katika kiwango bora kabisa na wakati wanayatekeleza hayo wasiuwe watu wala kuwanyima haki zao..kwa sababu wakifanya hivyo(kunyima haki na kuua)tutaifia nji hii kudai haki zetu....meanwhile Rest in Peace(RIP)
 
Kwa jina lako....haamini kama wewe ni mzalendo....hata ukitoa damu yako yoote ufe hapo kwa kuokoa maisha watu wengine kwake wewe mpiga deal.....heri upambane na maisha /hali yako.....!!!!!! Unapoteza mudaaaaa

Back
Top Bottom