Craig
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 1,676
- 3,143
Habari zenyu wana Jf. nimewahi kuwa na mahusiano na mabinti kadhaa. kwenye kutimiza mahitaji ya msingi huwa nasimamia ipasavyo. Yaani sina mkono wa birika. Tatizo nipale baaada ya lile tendo mabinti huwa wanakula kona. hata hivo nimenot kuwa wengi huwa wanalalamika kuwa huwa naunganisha mishindo. yaani siyo siri kwangu mimi kupiga moja then nile pose naona ni jinai. isitoshe hata baada ya mshindo mlingoti badohuwa umesimama. hivyo basi huwa naweza kuunga matatu. ndiyo napumzika. kila ninayekutana naye huwa harudii tena. Sasa najiuliza ni bora niwe na mahusiano bila kukutana naye. maana baada ya kukutana ndiyo huwa mwisho. Hunikimbia kwa kusema mimi huwa natoa adhabu. badala ya tendo.