Nipo sawa au kuna tatizo?

Nipo sawa au kuna tatizo?

Tena aanze na tatizo la ubakaji, nahisi atakuwa miongoni japo hajitambui....Pia mkuu kama umenote tangu matokeo ya Zeroes yatoke jamvi limeharibika sanaaaaaaaaaaaa, kila mgeni anakuja na mambo mapya. Sitaki kuamini kama tumefika hapa.

Hahahahaaaa! Umeona eeh, yaani jamvi limejaa ----- unaeletwa na hawa walio score zeros , mtu anaanzisha ----- halafu anapewa ushauri na zeros wenzake!
 
Huwa unawaandaa vizuri hao mademu zako?Au ukishaona k tu ushaingia kama unadandia DCM la mbagala
 
Habari zenyu wana Jf. nimewahi kuwa na mahusiano na mabinti kadhaa. kwenye kutimiza mahitaji ya msingi huwa nasimamia ipasavyo. Yaani sina mkono wa birika. Tatizo nipale baaada ya lile tendo mabinti huwa wanakula kona. hata hivo nimenot kuwa wengi huwa wanalalamika kuwa huwa naunganisha mishindo. yaani siyo siri kwangu mimi kupiga moja then nile pose naona ni jinai. isitoshe hata baada ya mshindo mlingoti badohuwa umesimama. hivyo basi huwa naweza kuunga matatu. ndiyo napumzika. kila ninayekutana naye huwa harudii tena. Sasa najiuliza ni bora niwe na mahusiano bila kukutana naye. maana baada ya kukutana ndiyo huwa mwisho. Hunikimbia kwa kusema mimi huwa natoa adhabu. badala ya tendo.

Yani wewe ndiye kipanga unaeotwa na wanawake wote tatizo unachukua vitoto havijakomaza mbavu vikikomaa utaona vitakavyokutafuta vyenyewe hata mshiko utapewa. Uko fresh mwanangu na ndio mana mwaume ni ruksa kuoa zaidi ya mmoja kama mkeo anakugwaya kitandani inabidi asaidiwe.
 
Hahahahaaaa! Umeona eeh, yaani jamvi limejaa ----- unaeletwa na hawa walio score zeros , mtu anaanzisha ----- halafu anapewa ushauri na zeros wenzake!
Kuna haja ya kumwomba Mod aangalie baadhi ya thread hasa za wageni kwani tunaelekezwa pabaya, kila wakija ni mapenzi na maswali yasiyo na kichwa wala miguu. Pia wanajamvi wajue sio lazima kutoa thread kama haina mshiko.
 
Bao nyingi bila ufundi inakuwa ni adhabu, manake ukitoka hapo inabidi utafute feni na unayasikilizia maumivu wiki nzima lol... lazima wakimbie tu

Acha uongo wewe! Wanawake hupenda sana mtu anayepiga bao nyingi na kama unauwezo wa kuziunganisha ndiyo wanapenda zaidi. Ukikua utagundua hilo. Tafuta tatizo lingine linalowafanya wakukimbie.
 
Tatizo ni kama unafanya mashindano vile na pengine kuna sababu za msingi za wewe kukimbiwa lakini hujaweka wazi na kwa ulio ya eleza ni wazi unajua tatizo lako!
 
Back
Top Bottom