joyness
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 235
- 120
ur welcome!nashukuru kwa ushauri mkuu
ur welcome!nashukuru kwa ushauri mkuu
safi sana, sasa wewe ndo umempa ushauri wa maana. naamin ataku-PM umueleweshe zaidi,mkuu hilo tatizo ni dogo sana,mm nilishawahi kuwa na mahusiano na mwanamke wa namna hiyo lakini ilikuwa kipindi cha nyuma,ninachofahamu mimi kuna aina nyingi za ukeketaji kulingana na jamii husika,kuna jamii zingine wanakata kisimi chote kwa kutumia wembe au kisu,wengine wanaunguza kisimi kwa chuma cha moto sana,wengine wanakata mashavu yote mawili ya uke na kuacha kisimi kimechomoza,yote hayo wanaopata matatizo zaidi kwenye suala la ngono ni hawa wanaondolewa kisimi chao,mimi nilikuwa nina mahusiano na binti mmoja ambaye yeye binafsi aliondolewa kisimi,nilichokuwa nakifanya ili kumridhisha kwenye suala la ngono ni kutumia zaidi G-spot yake,nilifanya kazi ya ziada sana kuitafuta hiyo G-spot na nilipofanikiwa kuipata hapo ndipo ulikuwa mwanzo wake wa kuenjoy maisha ya ngono kama wanawake wengine ambao hawajakeketwa,alikuwa ana uwezo mkubwa wa kukojoa hata mara 3 kwa kila tulipokuwa tunakutana,mkuu nakushauri sana usijute wala kumwacha huyo mwanadada aliyekeketwa,cha msingi unatakiwa ujitume kikwelikweli kuitafuta hiyo G-spot yake ambayo iko ndani ya uke wake,ukishindwa wewe kuna wajanja watampata na kumridhisha ambapo atakuona wewe huna lolote kwenye suala la sex,kama hutojali ni PM ili nikufahamishe jinsi ya kuitafuta hiyo G-spot kwa mkeo
mi naona ajifunzie kwako kwenye 0713 yako ili akienda kutumia kwa muhusika ajue anafanya-fanya-jeSa washakata minara kutakuwaje na Network au tumia 0713
Wala usimuache zaid ww ndo wa kutibu hisia zake,ponya saikoloj yake kwa kuwa karibu naye zaid sana na kumjal na kumuonesha kwmb yy ni wa thaman sana kwako,mwanamke ana sehemu nying ziletazo hisia cheza na mwili wake utagundua tu wap ni mdhaifu,na kadri utakavyokuwa ukimuonesha mapenz mazur ndivyo akili yake na mwili wake utakavyotibika na ataenjoy km wengne.
mkuu hilo tatizo ni dogo sana,mm nilishawahi kuwa na mahusiano na mwanamke wa namna hiyo lakini ilikuwa kipindi cha nyuma,ninachofahamu mimi kuna aina nyingi za ukeketaji kulingana na jamii husika,kuna jamii zingine wanakata kisimi chote kwa kutumia wembe au kisu,wengine wanaunguza kisimi kwa chuma cha moto sana,wengine wanakata mashavu yote mawili ya uke na kuacha kisimi kimechomoza,yote hayo wanaopata matatizo zaidi kwenye suala la ngono ni hawa wanaondolewa kisimi chao,mimi nilikuwa nina mahusiano na binti mmoja ambaye yeye binafsi aliondolewa kisimi,nilichokuwa nakifanya ili kumridhisha kwenye suala la ngono ni kutumia zaidi G-spot yake,nilifanya kazi ya ziada sana kuitafuta hiyo G-spot na nilipofanikiwa kuipata hapo ndipo ulikuwa mwanzo wake wa kuenjoy maisha ya ngono kama wanawake wengine ambao hawajakeketwa,alikuwa ana uwezo mkubwa wa kukojoa hata mara 3 kwa kila tulipokuwa tunakutana,mkuu nakushauri sana usijute wala kumwacha huyo mwanadada aliyekeketwa,cha msingi unatakiwa ujitume kikwelikweli kuitafuta hiyo G-spot yake ambayo iko ndani ya uke wake,ukishindwa wewe kuna wajanja watampata na kumridhisha ambapo atakuona wewe huna lolote kwenye suala la sex,kama hutojali ni PM ili nikufahamishe jinsi ya kuitafuta hiyo G-spot kwa mkeo
kwani wewe huridhiki?wewe kinakuuma nini? wewe sema umemchoka dada wa watu ...so utamuacha kisa haridhiki? anakulalamikia ? umemkuta akikigawa kwingine? ulishawai kuridhisha mtu ? ilikuwaje ? tofauti ilikuwa nini kwa huyu .....mfyuuuu
Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini unataka kuoa?
Hivi Ushauri ukipewa hapa unahisi utadumu?
Mimi nafikiria labda unge jikita kwenye hisia zako mwenye la sivyo bado hujafikia muda wa kuoa.
Mapenzi haya definition.
Je umewahi kujiuliza hivi ukiwa na mwanamke yuko fiti kabisa na likatokea tatizo akakeketwa na ni mke wako utamwacha?
wewe unaumia nini? Huinjoy wewe?sio kama nimemchoka la hasha nampenda sna huyu binti tatizo mm naumia ninapoona yeye haenyoy.
Habari wadau mm ni kijana wa kitanzania kwa sasa naona umri wangu wa kuoa umefika. Katika harakati za kumpata mwenza nimefanikiwa kumpata msichana lakini huyu dada anatatizo moja amekeketwa naombeni msaada wa mawazo hivi ni namna gani ya kuishi na mwanamke wa stail hii? Ili nae afurahie tendo. Maana naona hana hamasa yeyote wakati mwingine tupo kwenye mambo yetu lakini sioni kama anafurahia. Pia hajiamini na ameathirika sana kisaikolojia. Tafadhari nisaidieni wadau sitaki kumwacha mtoto huyu. Naomba kuwakilisha.[/QUOT
Mwoe tu kama unampenda maana usipomwoa wewe atamwoa nani,em jipe moyo na sidhan kama ni kwel kwamba wanawake wa jinsi hii huwa hawafiki kunako,ila wanachelewa sana kutokna na kule kukeketwa.ila nina imani utadumu nae maana makabila wanaykfanyiwa hivi hiyo ni sifa yao mojawapo.