mkuu hilo tatizo ni dogo sana,mm nilishawahi kuwa na mahusiano na mwanamke wa namna hiyo lakini ilikuwa kipindi cha nyuma,ninachofahamu mimi kuna aina nyingi za ukeketaji kulingana na jamii husika,kuna jamii zingine wanakata kisimi chote kwa kutumia wembe au kisu,wengine wanaunguza kisimi kwa chuma cha moto sana,wengine wanakata mashavu yote mawili ya uke na kuacha kisimi kimechomoza,yote hayo wanaopata matatizo zaidi kwenye suala la ngono ni hawa wanaondolewa kisimi chao,mimi nilikuwa nina mahusiano na binti mmoja ambaye yeye binafsi aliondolewa kisimi,nilichokuwa nakifanya ili kumridhisha kwenye suala la ngono ni kutumia zaidi G-spot yake,nilifanya kazi ya ziada sana kuitafuta hiyo G-spot na nilipofanikiwa kuipata hapo ndipo ulikuwa mwanzo wake wa kuenjoy maisha ya ngono kama wanawake wengine ambao hawajakeketwa,alikuwa ana uwezo mkubwa wa kukojoa hata mara 3 kwa kila tulipokuwa tunakutana,mkuu nakushauri sana usijute wala kumwacha huyo mwanadada aliyekeketwa,cha msingi unatakiwa ujitume kikwelikweli kuitafuta hiyo G-spot yake ambayo iko ndani ya uke wake,ukishindwa wewe kuna wajanja watampata na kumridhisha ambapo atakuona wewe huna lolote kwenye suala la sex,kama hutojali ni PM ili nikufahamishe jinsi ya kuitafuta hiyo G-spot kwa mkeo