Nipo njiapanda, msaada wenu wanaJF

Tumia gari kama duka linalo tembea,nunua baadhi ya bidhaa Kama pochi za mitumba,viatu then aza kupita maofisini unauza
asante kwa ushauri wako mkuu, ili pia nilifikilia ila nikawaza nifanyie biashara ipi iyo ambazo ntakuwa nanunua then napitisha kwenye sehemu za maofisi nk ila sikupata jibu
 
Mkuu biashara Ni ubunifu,hapo nimekupa wazo ingia ilala bomaa,changua t-shirt classic na masharti,nguo za ofisini za kina dada,viatu,pochi then jitoe ufahamu ingia kila ofisi tangaza biashara yako wako watao nunua
 
Mkuu biashara Ni ubunifu,hapo nimekupa wazo ingia ilala bomaa,changua t-shirt classic na masharti,nguo za ofisini za kina dada,viatu,pochi then jitoe ufahamu ingia kila ofisi tangaza biashara yako wako watao nunua
ubarikiwe sana mkuu
 
Fanya gari uber mbona simple tu au ndio unaogopa watu watakuonaje mkuu kwenye kutafuta hela hakunaga aibu au kuona wakina nani watanionaje

Nina rafiki yangu ni sister du yupo busy na uber yake kwa mwezi anaingiza karibia mill 1 na hapo anakwambia hajaamua kuwa serious na biashara ya uber sasa sijui kweli au ananidanganya anajua yeye
 
Ktk maisha yako, kataa kupunguza kitu kwasababu ya shida. Usiuze nyumba, gari au chochote ulichonacho. Ingia uber au fanya dereva tax upate pesa.
Unaweza kuuza gari halafu ukafungua biashara na ikafa.
asante mkuu, ubarikiwe sana
 
asante sana mkuu nimekuelewa sana
 

Bora wewe uko peke yako hauna familia na una asset tayari,zifanyie kazi zikuongezee pesa acha uoga wa maisha.Kuna waendesha bodaboda wanapata riziki kila siku.
Uamuzi ni wako.
 
Usiuze Gari wala kiwanja...Fanya Uber, Mwezi tu utaweza kupandisha angalau Chumba kimoja ktk msingi wako...jiwekee lengo la kila miezi miwili max Chumba kimoja kikamilike, hamia kupunguza gharama za kodi km umepanga...pandisha chumba kingine pangisha hadi nyumba iishe...ukimaliza anza kutafta mtaji wa stationary, with your IT knowledge haiwezi kukupa shida...As a backup unahitaji kutafta video/audio tutorials za mambo ya IT mfano ccna,ccnp,cisa, cism, cissp, oracle n.k uwe unaziskiliza unapokua unafanya kazi zako za Uber dont waste your time kubadilisha station za radio then unajichanga unafanya mtihani unakua certified...ukiwa na hizo certifacates kuajirika ni rahisi zaidi incase bzess ikikushinda ukaamua kurudi katka ajira or ukiamua kuanzisha kampuni yako ya mambo ya IT.
 
Gari ya Tax hailipi hata kidogo,uza gari Kwa hasara changanya na million 1 yako Fanya biashara
 
Gari ya Tax hailipi hata kidogo,uza gari Kwa hasara changanya na million 1 yako Fanya biashara
Mkuu unajua average Uber inalaza bei gani kwa siku?au unataka tu kumdiscourage jamaa?Unamshaurije mtu auze gari bila kumpa ushauri wa akishaliuza gari akafanye biashara gani..
Its not ideal kuuza Gari wakati hana idea wala uzoefu wa biashara anayokwenda kuifanya...atumie gari yake ku raise capital ya biashara nyingine...ikisha changamka then ndo auze gari ku top up capital, not to start a business.
 
N
Niuzie mimi iyo IST nazipenda sana. Fanya mchakato tufanye biashara
 
shukrani sana kiongozi
 
ubarikiwe sana mkuu, umeniongezea kitu kikubwa sana kichwani mkuu, ubarikiwe
 
shukrani sana mkuu kwa mawazo yako
 
Bora wewe uko peke yako hauna familia na una asset tayari,zifanyie kazi zikuongezee pesa acha uoga wa maisha.Kuna waendesha bodaboda wanapata riziki kila siku.
Uamuzi ni wako.
shukrani sana mkuu
 
ingiza gari kwenye biashara ya tax ili maisha yaende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…