Nipo njiapanda msaada wenu tafadhali

JOMAKIBU

JF-Expert Member
Apr 18, 2015
538
70
Nipo kidato cha 6 combination ya HGL naombeni msaada wenu nisome course gan ambayo itanisaidia kwakipindi cha miaka 5 ijayo kujiajr ama kuajiliwa?
 
Una uhakika gani kama utafaulu vizuri mtihani wako?Muombe sana Mungu wako akusimamie uweze kufanya vizuri mtihani na upate matokeo mazuri.Chuo ni matokeo mazuri ya mtihani wako utakao fanya.
 
Back
Top Bottom