Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,512
- 772
Nimefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na chuo cha st. Joseph pale Songea jiran kidogo na mji hivyo naomba wa Jf mliopo songea tufahamiane kwan m natokea Moshi na ni mgen. Natarajia kusafir kwenda chuon kesho ila nahitaji chumba cha kupanga karibu na chuo nipo tayar kutoa elfu 40 ama zaid kwa mwezi kiwe na umeme kisiwe na historia mbaya kama vile watu kushindwa kuish sabab ya mapepo naomba mnipe msaada huo wana Jf mliopo huko atakayefanikiwa kunitafutia chumba nitamtunza kias flan cha fedha. Asante
---UPDATE---
Ndugu wanaJF nawashukuru sana kwa ushaur wenu kwani mmenipa moyo sana na nimefika salama nipo Mbalache G. House ila kwa bahat mbaya na kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu sijafanikiwa kusajiliwa na chuo nilichokuwa mechaguliwa hivyo kesho narud kilimanjaro.