Nipo njia panda

hii story si katoa magode jana kumbe ni hadithi basi tena
Mkuu miss chagga nimejitahidi kutoa taarifa kwa mods lkn hawajachukua hatua. Bahati nzuri ww unanifahamu,unaweza kulinganisha nilichoandika na unavyonifahamu. Lkn pia km kuna mtu anadhani ni kitu cha kutunga au na mimi nime-copy akinionyesha popote ilipoandikwa kabla ya muda niliopost mimi naruhusu nipigwe ban ya maisha na ntamlipa huyo mtu laki 1. Na hivi nnavyoandika,npo na teacher kwenye gari tunaenda kariakoo.
 
Last edited by a moderator:
usijali mkuu watafanyia kazi leo wapo msibani
 
Aah namjua huyu binti yupo vikoba na ndugu yangu.aliwahi kueleza jinsi alivyopntelewa na pesa na kuzipata kimaajabu kama ulivyoeleza.ila mkuu huyu binti mrembo ni muathirika wa kitambo sana na hua hamnyimu mtu.ndin maana siku ya kwanza tu ulivyoomba k akakupa.kwahiyo nakushauri sana ndugu yangu,mchukue shemeji mkapime afya zenu mapema.
 
Mwambie ukweli unamke la sivyo anguko lako kibiashara linakuja kama mnyang'anyi baada ya mkeo kujua.
 

Mkuu huu ni udhaifu sasa!! mambo ya mitandao usiyachukulie kihivi..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huu ni udhaifu sasa!! mambo ya mitandao usiyachukulie kihivi..
Udhaifu gani mkuu kiwatengu kuna nimeeleza tu ukweli kuwa me ndo mwandishi wa hii thread. Ndo maana nasema,km kuna mtu ameuona huu uzi kwenye blog yoyote kabla ya muda niliopost mimi,basi nipo tayari kupigwa ban ya maisha. Na hilo haliwezi kutokea kwa sababu ni tukio la kweli na me ndo nalijua kuliko mwingine...!
 
Last edited by a moderator:
 
Na umri huo na mke na watoto kazi yenyewe tigo pesa na bado unahangaika na mmallaya??..wanao watasoma kweli??
Mkuu kalagabaho nadhani unaongea bila kujua unachomaanisha. Shida ya kutumia I'd fake huwa inatufanya tudharauliane lkn sikushangai..!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani option ya block imewekwa kwa sababu zipi tenda wema uende zako sio upewe papuchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…