Mwambie mkeo ameamua kurudi nyumbani ili aendelee kulea watoto wake coz hataki watoto wake walelewe na mwanamke mwingine, na pia umeshindwa kulipinga hilo kwa faida ya watoto hivyo mumeamua kuganga yajayo.
Mwambie pia bado unampenda sana hivyo kama dini inaruhusu umuongeze awe wa pili.....na kama hairuhusu basi muombe muendelee kugegedana mpaka atapopata mume na aheshimu sana uwepo wa mkeo.
Manake ipo siku mkeo atakufuma tu unasoma sms huku unatabasamu...atakupora cm atasoma sms na kitakachofuata ni mazungumzo baada ya manundu.