Nipo njia panda!

Shomari

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,112
Reaction score
242


Rais akiagana na dada aliyekuwa mhudumu wake katika hoteli hiyo.

Nimeshindwa kuelewa mbona huyo dada kamtazama membe kama ana ugomvi naye? au wewe unaonaje? dah! hata hivyo Rais wetu anafaidi sana akiendaga huko . cheki hilo jimama lilivyoumbika mpaka bodigadi wa kikwete wanajikanyaga , badala ya kumlinda kikwete wao wanalinda lijimama. duh!
 
Ni kama Membe anafahamu kitu fulani lakini anamezea na huyo dada anafahamu Membe anajua issue hiyo hivyo anamkazia macho kama msisitizo. Jamani msinisute je wewe nawe unasemaje?
 
Rais gan mwingine anaagana na mhudumu kiivo? ****** atakua na rekodi nyingi kuliko marais wengine duniani!
 
Membe anashangaa,hala macho alipoyaelekezea.
 
Halafu Membe kavaa sandals utadhani anaenda chooni. hawana hata aibu wanaponda raha huko, huku wananchi maisha ndiyo yanazidi kuwa magumu.

 
Huyu dada kama anawapiga biti
hakuna wizi uliotokea hoteli hapo kweli?
Kwa jinsi huyu dada alivyomshika mkuu hakuna hali ya amani hapo
lazima kuna kitu membe kafanya hapo hotelini tena cha ovyo
mkuu alikuwa anazima hiyo noma, ndio maana mlinzi yake macho

na membe kavaa kama kibaka
 
Jamani kavaa sandals hali ya hewa inaruhusu.ingekuwa january asingethubutu
 
Hapo mama kapagawa achague yupi? wote wahandiii na JK kawahi kukamata lakini membe nae.... mama amebaki njiapanda
 
piga ua mkweree lazima alisukuma ngozi!

Hayo ndiyo yanayompeleka mkweree huko majuu halafu yuko juha mmoja eti anasema mkweree huwa anafanya hizo safari kwenda kusaini mikataba!!! Kule alikokwenda kubembea alisaini mkataba gani wewe kilaza?
 
Ndo hivyo handsome wenu ana spread territory tuuuu kwa kodi zenu
 
nimezipenda sandals za Membe nzuri kweli!
 
View attachment 37873

Rais akiagana na dada aliyekuwa mhudumu wake katika hoteli hiyo.

Nimeshindwa kuelewa mbona huyo dada kamtazama membe kama ana ugomvi naye?
Huyu dada itakuwa usiku wa jana yake alimgongea Membe akidhani anaweza kazi mambo yakashindikana lakini alipogonga chumba cha pili akakunwa vilivyo sasa hapa anamuangalia Membe na kuwaza huyu muafrika wa wapi hawezi kazi ?
 
Ni kama Membe anafahamu kitu fulani lakini anamezea na huyo dada anafahamu Membe anajua issue hiyo hivyo anamkazia macho kama msisitizo. Jamani msinisute je wewe nawe unasemaje?
Mzee wa Rula,
Naona afadhali tubadilishane majina. Unafaa kabisa kazi ya ujasusi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…