Basi la kuingia mwanza saa 1 usiku mmetokea morogoro au?!
Hilo basi lililala njiani?maana hakuna basi linalotaka Dar na kuingia muda huo Mwanza.Ni lazima kulala Nzega au Shy.
Hamna basi la dar linalofika mwanza saa 1 usiku mkuu hapo umetudanganyaKutoka dar, tena hilo lilichelewa sana
Hilo basi lililala njiani?maana hakuna basi linalotaka Dar na kuingia muda huo Mwanza.Ni lazima kulala Nzega au Shy.
Watanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?Basi la kuingia mwanza saa 1 usiku mmetokea morogoro au?!
Hata kama ni kutokea Moro ni lazima kufika saa nne usiku Mwanza.
HahahaBasi la kuingia mwanza saa 1 usiku mmetokea morogoro au?!
Vipi mkuu ulimaanisha saa 7 usiku? Au saa 1
Acha kudanganya watu hapa wewe.kuna daladala mbovu hapa mjini toka lini?watu mna vimaneno vya kijinga jinga kweli sijui utapata nini kuwadanganya watu.mji huu una hiace kama mchanga na zote kwa %90 ni gari mpya.mashimo barabarani umeyaona wapi?kuna uchakavu wa barabara kidogo mwanzoni mwa pamba road na Lumumba road kutokana na mapolomoko ya maji ya mvua maana kuna mwinuko kidogo basi,na hazina hata point 4 za kilometer.sasa hayo mashimo ya mpaka wewe kuleta maneno hapa umeyaona wapi?Habari zenu wadau
Ni siku yangu Ya pili hapa Rock City (Mwanza) kama inavyo julikana na wengi
Kwa wale wanao tamani kufika mwanza ambalo lisha tunukiwa sifa ya jiji miaka kadhaa sasa lakini jina hilo haliendani na sifa ambayo inapewa
Saa yangu inaonyesha ni saa 1:23 usiku ndani ya dar lux tunaingia mwanza, moyo unashtuka baada ya kuambiwa Nyegezi stand ndo mwisho wa safari, wakimaanisha tusha fika mwanza
Ni giza kila sehemu stand ya nyegezi kama dampo jamaaaani hakuna taa barabara imejaamashimo, taa za barabarani haziwaki
Tunatoka nyegezi twaelekea Nata ambako ndio mwisho wa gari jamaaaani city centre mashimo, viroba vya taka vimetupwa katikati ya barabara
Hiyo ndio mwanza unayo isikia
Pana pambazuka asubuh najiandaa kwa ajili ya mishe ilo nifikisha uuuuuwiiiiii daladala zimechoka, na zinajaza balaa, vituo havieleweki kama vile hakuna mkandarasi wa jiji
Je mkuu wa mkoa hayupo au hajifunzi kutoka kwa Makonda
Kama ni saa 7 usiku sawa.Alimaanisha usiku
Wanapotezea kisa hawataki tuijadili MwanzaWatanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?
Muulize mwandishi kwa nini alitaja muda kwenye makala yake? Members wanatumia muda kama ku-cross check ukweli wa kilichoandikwa.Watanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?