Nipo Kinondoni nasikia vishindo...

Nipo Kinondoni nasikia vishindo...

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
8,694
Reaction score
16,322
Kunani jaman mwenye taarifa atujuze

UPDATE:
Ondoeni hofu, tupo kwenye makaburi tunamhifadhi mjeda mwenzetu Ret. General Jack. Picha za matukio baadaye nafyatua mizinga
 
Nipo Mwenge naskia vinatokea Lugalo au mbali zaidi kama baharini upande wa Kunduchi Beach.
 
Kova tamko tafadhali, nami nipo magomeni nasikia kama mafataki vile!!
 
Au wanatesti kusafirisha gas kupitia bagamoyo
 
Ondoeni hofu, tupo kwenye makaburi tunamhifadhi mjeda mwenzetu Ret. General Jack. Picha za matukio baadaye nafyatua mizinga
 
Mwanaume wa dar @ work ulikwepo eneo la tukio lakini cha kushangaza umeshakimbia hadi nyumbani sa hvi upo chini ya meza unapost jf
Ndugu Kwenye haya mambo bwana rule no 1 ni kulay low huku ukijaribu kutafuta ni nini kinachoendelea,,, , ukijidai wewe ni hero yaani saa nyingine utaishia kuumia tu....
 
Ondoeni hofu, tupo kwenye makaburi tunamhifadhi mjeda mwenzetu Ret. General Jack. Picha za matukio baadaye nafyatua mizinga
Asante kwa ufafanuzi. Nipo hapa B-Bar nakula kitimoto sina amani...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom