Nipo KIGOMA kwa mara nyingine

Nipo KIGOMA kwa mara nyingine

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,506
Reaction score
7,445
Wenyeji mpo wa huu mji,nipo hapa nasubili kukaribisha,naingia mtaani mda si mrefu
*Vox popoli vox dei"
 
Ngoja niende manyovu nikaangalie Watusi
 
Wasalimie wana kigoma wote. wape salamu za chama chetu cha mapinduzi. waambie Tutawatembelea hivi karibuni kuja kuimarisha sera za chama chetu.
 
Last edited by a moderator:
Ndio safarini kurejea Burundi ama...au wewe si mhamiaji haramu.
 
Wasalimie wana kigoma wote. wape salamu za chama chetu cha mapinduzi. waambie Tutawatembelea hivi karibuni kuja kuimarisha sera za chama chetu.

Nitazifikisha katika Kijiwe cha Urusi hapa kwa mchaga-mwanga
 
Last edited by a moderator:
Ina maana hakuna wana Kigoma humu ndani?
mbona wamekuchunia sana hata kukukaribisha!
Aisee kuna sehemu siyo za kutembelea kama ndo hivyo
 
Ina maana hakuna wana Kigoma humu ndani?
mbona wamekuchunia sana hata kukukaribisha!
Aisee kuna sehemu siyo za kutembelea kama ndo hivyo

Na mimi wakija kwetu mtwara nitawachunia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom