Nipo KIGOMA kwa mara nyingine

Nipo KIGOMA kwa mara nyingine

Naona Dagaa zimeshuka bei,nimepita Kalinzi ndoo kubwa ya lita 20,unauziwa kwa Tsh 25000,samaki migebuka wamekuwa Adimu
 
Barabara ya Kigoma kask-Manyovu road ina Askari wengi kazi yao kupokea Fedha tu kwa Madreva,ukifika njia panda ya mwandiga utawakuta,Kiganza wapo,mkongoro wapo,Kalinzi wapi,mawasiliano utakuta wanajeshi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom