Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
kote wanaisoma hadi kwa kirumi!Vp Kasulu,Kibondo,Kakonko,Buhigwe,
Kasumo Nyumba Kwa Waziri Wa Fedha Wanaisoma ?
Ila cc wakulima wa Korosho tunauliza tuu kua kwan hizo namba ni kuanzia ngapi hadi ngapi?, na zinasomwa namna gani....!. Nani wenye sifa za kusoma hizo namba na sifa hizo ni zipi.....!.
katika familia watoto wadogo kabisa huwa hawajui kwamba kuna shida, hata mkilala njaa hawaelewi, wanabakia kudai chakula tu!Ila cc wakulima wa Korosho tunauliza tuu kua kwan hizo namba ni kuanzia ngapi hadi ngapi?, na zinasomwa namna gani....!. Nani wenye sifa za kusoma hizo namba na sifa hizo ni zipi.....!.
Mbere kwa mbere