Nasoma hii thread kwa mara ya 3 sasa, na bado sijaelewa mantiki ya kulinganisha JK na taarabu.
Labda ndiyo hasa maana ya starehe ya kunywa BALIMI EXTRA LAGER. Agiza zingine mbili, na mwambie mhudumu afungue zote- bili kwangu.
Wenyeji wangu wamenileta kwenye "kumbi ya starehe" kwa jina panaitwa "kwa godi". Toka tumefika hapa saa moja kamili ya usiku huu mpaka nnapoandika haya, tunastareheshwa kwa nyimbo za taarabu. Si maajabu hayo? KIA na taarab wapi na wapi? Hususan Wameru! Amma kweli Kikwete ana shani yake na asifiwe. Nakumbuka "baniani mbaya kiatu chake dawa".
Nasoma hii thread kwa mara ya 3 sasa, na bado sijaelewa mantiki ya kulinganisha JK na taarabu.
Labda ndiyo hasa maana ya starehe ya kunywa BALIMI EXTRA LAGER. Agiza zingine mbili, na mwambie mhudumu afungue zote- bili kwangu.
Nasoma hii thread kwa mara ya 3 sasa, na bado sijaelewa mantiki ya kulinganisha JK na taarabu.
Labda ndiyo hasa maana ya starehe ya kunywa BALIMI EXTRA LAGER. Agiza zingine mbili, na mwambie mhudumu afungue zote- bili kwangu.
Kumbe kuenea kwa taarabu ni sehem ya mafanikio ya JK na ccm?..ccm wanunue kipindi tbc kutangaza haya mafanikio.
"kanunua simu kampa demu, walipoachana, kampokonya... Cheza kidogo cheza kidogo... Haishikiki eeh haishikiki, pembe ya ng´ombe..."