Nipo katika wakati mgumu saaana

Mkuu mke hapatikani kwa kutangaza mshahara na gari ulilonalo, kama unatafuta girfriend au DEMU wa kupoozea sawa maana atafuata hizo zana za maangamizi unazozitaja na baada ya muda mtaboana maana kila mtu atakuwa kafuata interest zake na yeye akikinai MSHAHARA WAKO NA KUPANDA GARI LAKO atasepa, jitahidi kujichanganya na watu hasa kwenye sherehe, misiba, kanisani sehemu zenye mmikusanyiko ya watu mchanganyiko naamini one day utafanikiwa kupata mwenzi wako anaye kufaa ila si kwa vigezo vyote unavyovihitaji wewe maana BINADAMU si wakamilifu, lkn kwa asilimia 75-80 unaweza kupata na hizo tofauti nyingine ndo zinazofanya wewe na yeye muishi pamoja coz mtasaidiana kuzitatua. jitahidi zana kuzuia tambo zako za GUD LIFE maana si kitu lizuri kutoa ahadi ahadi nyingi sanaa wakati wa uchumba halafu ukishaoa ukikimbushwa unaanza si tayari nimeshakuoa sasa unataka nini, kwa hiyo jitahidi kamanda wetu utafanikiwa tuu
 
may be you are too isolated kiasi kwamba hujichangani na vijana wenzio kwa kuijiona umefika kwa kuwa tu unapata huto tu 2mil.otherwise ungekuwa umesha pata wa kukufaa.....ubize sio ishu kiivo kiasi kwamba utashindwa kufanya ishu muhimu kama hiyo.......money is anything but nothing ...pesa si kila kitu.Jichanganye utapata tu umpendae ila angalia mamluki...........
 
....jichanganye mkubwa...

socializing inasaidi sana mkubwa... hudhuria minuso kadhaa i.e send offs, harusi, office parties, family day out, ...pia jichanganye kwenye misiba, na vikao vya harusi nk...kule unakutana na mabinti kwenye 'natural-habitat!'...

hii maisha ya 8am-5pm kwa ofisi, 8pm-11pm internet, sio mtindo kabisa aisee,...

Hapo umesema haswaaaa!! kwenye shughuli tajwa hapo juu ndo unaweza kukutana na demu ambaye ni marriage material. ukitaka kuona simba wengi na swala wengi unaenda mbuga za wanyama na sio zoo.
 
Lol! Nimeingia choo cha kike! Lakini ukweli unabaki palepale, Bikira Maria hana mfanowe. Usisahau nlishasemaga mke wangu sikumkuta na bikira. Na si umeshasikia wanawake huwa hawawasahau wanaume waliowabikiri? Need I say more? Ni kukaza moyo na kujifanya jinga ili mambo yaende poa.
Mwenzetu wewe ulishakumbukwa na wangapi hadi sasa baada ya ndoa yako ya miaka kadhaa?
 
Jackson.,
Umeshawahi kupendwa kikweli na wewe ukachezea penzi?
Itabidi ujitafakari uone kama wewe ni dream man wa the kind of women you consider your dream women! Unaweza kujiwekea vigezo vya juu sana vya aina ya mwanamke unayetaka kumuoa, ukakuta na yeye anaona hujafikia vigezo - kumbuka hiyo Milion 2 , gari na kiwanja si mali kitu kihivyo unavyofikiria wewe.

Badili mikakati kama walivyokushauri wengine.Pengine jishushe zaidi, kuwa mpole, humble, pendelea kuwa mtu wa watu kwa kushiriki shughuli za kijamii, kuwa mtu wa msaada kazini kwako,na hata kama uko kwenye mashirika ya kimataifa basi jaribu kutengeneza muda wako wa binafsi katika ku balance work-life maana hii nayo ni sera ya mashirika mengi ya kimataifa.Jitahidi halafu uone kama haitaleta mafanikio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom