Nipo katika wakati mgumu saaana

nenda kijijini ukaoe, wasichana wengi tu wapo. Ukishampata usisahau kumuendeleza kielimu.

na huu mpango wa kuwaambia watu nendeni vijijini,msifikiri kila mtu ametoka kijijini.wengine tumezaliwa mijini,kwenye lami na taa.
 
na huu mpango wa kuwaambia watu nendeni vijijini,msifikiri kila mtu ametoka kijijini.wengine tumezaliwa mijini,kwenye lami na taa.

naye kazidi mashauzi mara mshahara milioni 2, ohh!! ana nyumba ana gari sasa vyote vya nini hivyo? Ndio maana nikamwambia aende kijijini huko ndio kunamfaa akawatishe watoto wa kijijini, lakini hawezi kupata mdada mshamba Dar wa kupapatikia mshahara mil 2, nyumba au gari yake. Zaidi zaidi atawapata wa kumchuna tu.
 
mimi nipo ila je utameet my creterial , nafkili nina sifa zote ila ndio ivyo kama uko tayari tuwasiliane
upo kwa ajili ya mapenzi au tamaa ya hiyo m2 per month, maana usije enad ukamwaribia maisha mara utakapoona amefulia. maana ninyi dada zetu tunawajua vizuri kwa kupenda penye pesa bila ya mapenzi
 
Kazi kweli kweli,hivi hizo sifa zote za nini? Wewe kaka kwa taarifa yako msichana makini hapapatiki na hizo sifa zako,na pia wanawake wamegawanyika makundi mbalimbali,kuna wanaopenda vitu vya kuonekana eg pesa,gari,nyumba,etc,na kuna ambao hata kama huna kitu atakupenda tu kwa mapenzi ya dhati,na pia wapo ambao hawapendi watu wenye sifa kama zako,ukishaanza tu sifa na kujishaua huyo anakutema,sasa wewe hizo sifa zako nahisi zitakuharibia maana utakaokuwa unawapata ni wale wapenda pesa na starehe bila kujali future itakuwaje.Kama kweli lengo lako ni kutafuta mke wa kuishi nae punguza sifa na hata unapoenda ku-mwaproach mtu acha kutangaza kwamba mshahara wangu ni 2m,nina gari,nyumba,sijui nafanya kazi wapi hayo yote ya nini kaka?
 
Hivi kwa nini wabongo tunapenda misifa? Sijui mambo ya kujisifia magari, majumba, mishahara, sijui nafanya kazi na International organisation ili iweje? I am sorry, too much irrelevant information.
Kwanza ungejitahidi angalau katika composition and grammar, kwa sababu kwa muandiko huu hapa juu hao wasichana watakufikiria ni kihiyo fulani, kutokana na elimu yako (you should be able to write better than this) huna uhalisia ama uko katika matani.

Dizaini hizi ndio wale wale wa kununua papaer na nafasi za kazi, Mkuu!,unategemea nini hapo??
Kweli dada zetu wa-kibongo na njaa zao, watavutika na kuvuta Mpunga wake then wanakula kona, analeta Mashauzi na ma-advertise meeeeengi!! Sio freshi kwa style hiyo.
 
na tatizo lako kubwa unachagua sana ..mchagua nazi hupata korona ,kina dada wamejaa tele ka nazi sokoni kati ya hao umekosa lol pole
Piga magoti funga na kuomba ili upate mke mwema ..mke mwema anatoka kwa mungu na si kama vile unavyodhani wewe
 
na tatizo lako kubwa unachagua sana ..mchagua nazi hupata korona ,kina dada wamejaa tele ka nazi sokoni kati ya hao umekosa lol pole
Piga magotu funga na kuomba ili upate mke mwema ..mke mwema anatoka kwa mungu

Sio kila king'aacho ni dhahabu shosti. Mke mwema labda ni Bikira Maria peke yake. Siku hizi hamna cha wema wala nini. bora liende.
 
Sio kila king'aacho ni dhahabu shosti. Mke mwema labda ni Bikira Maria peke yake. Siku hizi hamna cha wema wala nini. bora liende.

am telling you Chrispin In Jesus name na katika kuamini na kuomba mke mwema anatoka kwa mungu
Naamini hivo-ombeni mtapewa ,hakuna linaloshindikana kwa mungu -Amen
 
Sio kila king'aacho ni dhahabu shosti. Mke mwema labda ni Bikira Maria peke yake. Siku hizi hamna cha wema wala nini. bora liende.
Chrispin utakuwa hueleweki!ushawahi kujisifia kwenye thread moja kuwa una miaka 10 ya ndoa yenye neema na hujawahi juta toka umuoe mkeo.Na hapa unamsifia bikira Maria na mkeo unamponda.Usi-generalize Bwana,Wanawake wema hata leo tupo kibao.
 
Kazi ipo kweli kweli maana inahitaji kutulia mzee wangu utaumia kila wakatim umsema kuwa ulikuwa na wasichana kibao sasa umeshindwa nini kupata mmoja
 
Chrispin utakuwa hueleweki!ushawahi kujisifia kwenye thread moja kuwa una miaka 10 ya ndoa yenye neema na hujawahi juta toka umuoe mkeo.Na hapa unamsifia bikira Maria na mkeo unamponda.Usi-generalize Bwana,Wanawake wema hata leo tupo kibao.

Lol! Nimeingia choo cha kike! Lakini ukweli unabaki palepale, Bikira Maria hana mfanowe. Usisahau nlishasemaga mke wangu sikumkuta na bikira. Na si umeshasikia wanawake huwa hawawasahau wanaume waliowabikiri? Need I say more? Ni kukaza moyo na kujifanya jinga ili mambo yaende poa.
 
hi wadau wa JF.sikizeni kisa changu
kipindi nasoma nikuwa na madem wingi &nimekuwa nikiachana nao kwani they were not girls of my dreams,hiyo baada ya kukaa nao muda.
sasa nimemaliza chuo nafanya kazi ktk moja ya intrenationa organization,with good salary more than 2m/month,i have car,everything in my house,kiwanja nk.but suala la mke linanisumbua kichwa.sioni wakufaa na access na mademu imeanzapungua kwa sababu ya ubize wa kazi.(unajua ukifanya kazi na wazungu)muda unaenda , vicheche nahfia kuseezi dreams zangu.i feel lonely.
ushauri wa kujenga wadau.

Uliyopitia na kufanya ndiyo ambayo wanadamu wengi tunapitia na hakuna yeyote mwenye ruhusa ya kum-judge mwingine isipokuwa Mungu Pekee.Yaliyopita si ndwele,anza upya kwa kuacha tabia hiyo,mrudie Mungu kwa toba ya kweli.
Na zaidi omba Mungu akupatie mke ambaye ni UBAVU wako kwa sababu ukichukua ubavu wa mwenzio hautafit.Tafuta mtu unayemwamini(hata mchungaji kanisani kwako) na mwenye mfano mzuri kanisani/kwenye jamii akusaidie kuomba ili umpate anayefaa.
Epuka maamuzi ya papara kwa sababu upo tayari kwenye tension,tulia na utumie Busara.
Mungu atakusaidia utampata wako kwa sababu hata usiku ukiwa mrefu kiasi gani ni lazima asubuhi itakuja.
 
Lol! Nimeingia choo cha kike! Lakini ukweli unabaki palepale, Bikira Maria hana mfanowe. Usisahau nlishasemaga mke wangu sikumkuta na bikira. Na si umeshasikia wanawake huwa hawawasahau wanaume waliowabikiri? Need I say more? Ni kukaza moyo na kujifanya jinga ili mambo yaende poa.

Ni kwasababu tu Biblia siku hizi haziandikwi tena lakini wapo ambao hawavumi ila wana sifa hizo,Sikatai kuwa bikira Maria ana sifa ya aina yake na hatuwezi kulinganisha na wengine lakini kutokuwa bikira wakati wa kuolewa sio kigezo cha kuchafua mazuri yote aliyonayo mwanamke,na itakuwaje kama mkeo alibakwakabla hujamuoa?
 
Ulikuwa wapi siku zote hizi? You have made my day darling. Was just kidding. Am in love with all women. And for sure, wanawake kwa asilimia kubwa ni waaminifu ukilinganisha na wanaume. Mwanamke akiamua kutulia, anatulia kikwelikweli. Wanaume sisi utulivu ni almost sifuri. Sorry kama nilikuvunja moyo na kukukatisha tamaa.
 
Its ok my dear,Asante kwa kusema ulikuwa humaanishi.Tupo pamoja.
 
with good salary more than 2m/month,i have car,everything in my house,kiwanja
Acha ujinga wewe, mke huwa atafutwi kwa vigezo vya mshahara na mali ulizonazo, Tafuta mwanamke utakeyona anakujali bila kujali mali zako na mshahara wako.. unaomba ushauri wa kutafuta mke na kutueleza mambo yako?Unaona watu wameshaaanza kujiachia.au ndo njia zako za kupata madem?
 
Naamini mimi ni mwema kwa mme wangu na kanipenda vile nilivyo - No one perfect kama nina mapungufu yatakuwa yakuvumilika na kusameheka

so that it :)

Unaamini wewe ni mwema, halafu tena unajidoubt kuwa kama una mapungufu yatakuwa ya kuvumilika na kusameheka. Nna mashaka na wema wako firstie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom