Nipo katika wakati mgumu saaana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipo katika wakati mgumu saaana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jackson27, Oct 2, 2009.

 1. j

  jackson27 New Member

  #1
  Oct 2, 2009
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hi wadau wa JF.sikizeni kisa changu
  kipindi nasoma nikuwa na madem wingi &nimekuwa nikiachana nao kwani they were not girls of my dreams,hiyo baada ya kukaa nao muda.
  sasa nimemaliza chuo nafanya kazi ktk moja ya intrenationa organization,with good salary more than 2m/month,i have car,everything in my house,kiwanja nk.but suala la mke linanisumbua kichwa.sioni wakufaa na access na mademu imeanzapungua kwa sababu ya ubize wa kazi.(unajua ukifanya kazi na wazungu)muda unaenda , vicheche nahfia kuseezi dreams zangu.i feel lonely.
  ushauri wa kujenga wadau.
   
  Last edited: Oct 2, 2009
 2. Lussadam

  Lussadam JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2009
  Joined: Oct 13, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  Kama hamna wa kufaa, jiunge na Upadre
   
 3. n

  najma Member

  #3
  Oct 2, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nipo ila je utameet my creterial , nafkili nina sifa zote ila ndio ivyo kama uko tayari tuwasiliane
   
 4. m

  mimi-soso Senior Member

  #4
  Oct 2, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  sali kaka yangu, mwenza mwema hutoka kwa Mungu.

  Atakuletea hukohuko katika u-busy wako, vumilia hakuna aliyekufa kwa kukosa mwenza.
   
 5. m

  mdau2009 Member

  #5
  Oct 2, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  atawasiliana na wewe vp?
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  aiseee hiyo situation unayopitia na mimi naipitia vile vile its funny unapokuwa shule au unapokuwa huna kazi unakutana na wanawake wengi wanaofaa kuolewa
  but once unapokuwa umesha settle na uko ready kuoa,,,,,ni ngumu kuliko mtu anavyofikiria.......
  na wanawake wakishajua unatafuta wa kuoa...
  wanakujia kwa staili tofauti......unaweza ona kila mwanamke anafaa kumbe wapi.
  omba mungu aiseee.
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  ila ndo hivyo??????????fafanua...
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ....jichanganye mkubwa...

  socializing inasaidi sana mkubwa... hudhuria minuso kadhaa i.e send offs, harusi, office parties, family day out, ...pia jichanganye kwenye misiba, na vikao vya harusi nk...kule unakutana na mabinti kwenye 'natural-habitat!'...

  hii maisha ya 8am-5pm kwa ofisi, 8pm-11pm internet, sio mtindo kabisa aisee,...
   
 9. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Weka na wewe vigezo vyako hapa watu wakuchangamkie shauri yako mida ndo hiyoo na umri ndo huoo..
  Au kwa vile umeona salary zaidi ya 2M ,nyumba na gari nini?
   
 10. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kila la kheri ila utapata tuu kaka hakuna shaka
   
 11. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0

  Pole sana usitie shaka umeleta shida yako jamvini itashughulikiwa. Je uko tayari kupimwa ukimwi? Pia ingekuwa bora ukitaja umri na eleza unatafuta mtu wa aina gani na expectations zako itawasaida wale wenye interest kufanya maamuzi.
   
 12. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  tatizo lako huyo 'dream girl' wako utakuwa umemuwekea criteria nyingi mno - tafuta demu hata kama ana 75% ya criteria zako chukua.
  la sivyo utaishia kuwa lonely mpaka kufa kaka.
  mambo mengine ya dream girl ni kwenye movie, novel na dream, many dreams never come true,
  maisha ndio haya haya angalia sana...
   
 13. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hivi kwa nini wabongo tunapenda misifa? Sijui mambo ya kujisifia magari, majumba, mishahara, sijui nafanya kazi na International organisation ili iweje? I am sorry, too much irrelevant information.
  Kwanza ungejitahidi angalau katika composition and grammar, kwa sababu kwa muandiko huu hapa juu hao wasichana watakufikiria ni kihiyo fulani, kutokana na elimu yako (you should be able to write better than this) huna uhalisia ama uko katika matani.
   
 14. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kwa jinsi ulivyojipamba mwenyewe, hapo ndipo tatizo lilipo. Yaani kuwa wewe ulikuwa ukibadilisha mabinti kama sarawili. Unajionyesha mwenye kujisifia mno hadi kusahau kuwa maisha ni zaidi ye fedha, gari nyumba n,k. Shuka chini, uweke thamani ya utu na pia thamani ya wale unaowaona ni wa matawi ya chini, hapo utafanikiwa. Vinginevyo kwa minjonjo yako, malkia ashakuwa mzee, hawezi tena kukuzalia mke!
   
 15. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Mimi nilikuwa hivyo hivyo enzi hizo kila demu baada ya muda walikuwa wananiboa. nilijaribu sampuli kwa sampuli lakini hali ilikuwa hivyo. kutokana na pressure ulizonazo sasa pamoja na wazee nikachukuwa kimwana ambacho kama kingeingia mashindano ya umiss lazima angekuwa katika kumi bora.
  Eeeh bwana nilijuta niliishi naye miaka 6 baada ya hapo nikaachia ngazi na kuapa kuwa sitaoa tena lakini bwana mungu mkubwa baada ya muda si mrefu anitokea malaika wangu ambaye ninae hadi sasa na amini usiamini tangu nimeoa ni miaka 15 lakini nilichepuka mara moja tu na sidhani kama kama nitamsaliti. sala zangu kila siku ni kuwa tuishi hadi kifo kitutenganishe.
  Hivyo bro don't force it utapata tu mbona wako wengi tu?
   
 16. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Nenda kijijini ukaoe, wasichana wengi tu wapo. Ukishampata usisahau kumuendeleza kielimu.
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Wewe vipi Maria Rosa...uko booked? Mi naona unamfaa huyu jamaa...lol
   
 18. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  maana yuko mbomba kweli kama ni picha yake kweli inayoonekana hapo!
   
 19. N

  Nwaigwe JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 779
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 80
  jackson, acha misifa hiyo post yako imejaa kujisifia tuuuu, kwa dizain hiyo binti makini huwezi kumpata utaishia kupata wapenda pesa. Anyway sikujua kuwa hili tatizo kumbe hata wanaume mko nalo...cha kufanya cool down na tafuta kwa makini, mungu kakupa ufahamu uutumie.Wale wanaosema subiri mungu atakuletea waongo! mchumba anatafutwa huku ukimwomba huyo mungu wako. Jichanganye kama ulivyoshauriwa, ukiwa makini utapata binti makini pia.bon chance!
   
 20. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Utapata dem anaependa mwanaume mwenye mshahara wa 2m/month,international organization job yako na gari lako. Nimecheka kwelikweli,kama ukionana na dem ukaanza hayo mambo ya mshahara na gari na wapi unafanya kazi ujue umemkosa kama kweli girl ni analytical. Mijisifa sio tool ya kupata mke mwema,badilisha strategy utapata!
   
Loading...