Nipo bukheri wa afya

Karibu sana..
Mkuu Mshana, tafadhali ukiona yafaa basi siku nyingine ukitaka kuondoka ufungue uzi wa kututaarifu..
Nadhani umeona reaction ilivyo.
 
Mkuu katika kusikia redio jana na juzi nimesikia South Africa wameanzisha chuo cha mambo yetu yale na wanakaribisha wataalamu kutoka maeneo tofauti tofauti kufanya maombi ya ualimu.

Nilitamani uwe hewani nikupe info ujaribu kuwacheki mkuu.
 
Daa! mimi yote hayakuniuma,niliumia sana na taarifa ya kifo chako,ndio ubinadam,tumefurah kukusoma tena u bukheri wa afya
 
kuna watu walianzisha nyuzi humu kuwa mshana jr umefariki bahati nzuri Moderator waliufuta,nami ilikuwa kidogo nikucheki ofisini kwako pale Tumbi.Ila yule dogo aliyetoa mada umefariki sijui amechukuliwa hatua gani na uongozi wa Jf
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji25] [emoji25] naomba asamehewe naongea hili kwa dhati ya moyo wangu
CC: Moderator
 
Mkuu katika kusikia redio jana na juzi nimesikia South Africa wameanzisha chuo cha mambo yetu yale na wanakaribisha wataalamu kutoka maeneo tofauti tofauti kufanya maombi ya ualimu.

Nilitamani uwe hewani nikupe info ujaribu kuwacheki mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Daa! mimi yote hayakuniuma,niliumia sana na taarifa ya kifo chako,ndio ubinadam,tumefurah kukusoma tena u bukheri wa afya
Aaaamen God is good always simpangiii Mungu wangu lakini bado sana kuondoka hapa duniani!
 
Ni jambo jema kwamba umerejea salama. Si kawaida kwa watu kuulizwa kama jinsi ilivyotokea kwako. Hiyo ni dalili kwamba una deni kubwa sana kwa wana JF na pia wanathamini sana michango yako. Aidha kwa hili lililotokea inaonyesha kwamba umejijengea mahusiano mazuri na washirika waliomo humu JF. Hongera sana na karibu sana kijiweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…