Nipige??

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
Wadau,kuna dada mmoja nilizaa naye mtoto mmoja,tukaseparate,yeye akaolewa na jamaa mwingine na yupo kwenye ndoa bado,cha ajabu huyu dada eti ananitaka nimpe mimba azae mtoto mwingine na mm,hapo vp jamani?analalqmikq sana kuwa tumbo humuuma sana anapokuwa mp.anasema dawa n kuconceive,mnasemaje wadau,nipige??
 
Sasa kama ni suala la kuzaa si azae na mume
wake,hujui kuwa unachotaka kufanya kitakugharimu.

Ama ndiyo kusema "Your baby with WomaN"
 
we pigaaaaaaaaa tu muheshimiwa mkuu wa mawaziri alisharuhusu.
 
Hapo tatizo halitaisha dawa ya kudumu ni mume wa huyo dada kupiga mkeo na.kabla ya usafi apige mkewe yaani threesome flani hivi hapo maumivu yooote yatakoma!!!!
 
vitu vingine siyo vya kukaa na kufikilia mara mbili....ulitakiwa kutoa jibu hapohapo.......muda mwingine wanaume muwe mnawaonea huruma wanaume mwenzenu walio na wanawake wenye akili fupi kama huyo mwanamke......
 
Toa msaada ila kumbuka ''mla cha mwenzie na chake shurti kiliwe ati'' have a nice day.
 
Me nadhani kaombe ushauri kwa mumewe atakushauri vizuri zaidi
 
Yaani wanawake wengine bana akha! pasua kichwa, anataka kumfanya mumewe zobaa!!! Hawa ndiyo wanawapotezea deal wanawake wengine ambao walikwishazaa, kudadambivuuuu zake kabisa huyo dada

Achana nae usipige MWAEGO maana kashaolewa na jamaa yake, utamwaminije kama yuko salama kwasasa!!! Halafu inaweza ikaja kukugharim kitu fulani katika maisha yako kama jamaa akigundua na kuchukua maamuzi magumu .
Ulishazaa umezaa nae basi mpoteze hata wewe usingependa kufanyiwa hivyo bana mhurumie mwanaume mwenzio anayepiga soap soap, haishi kwa amani na mkewe.
 
Back
Top Bottom