Abdallah kimwaga
Member
- Dec 16, 2012
- 49
- 8
naomba nipewe ushauri wa busara.mke wangu ni fundi nguo(cherehani) anatoka asubuhi na kurudi jioni,sasa kila nikimuomba unyumba hudai amechoka,na ni ukweli hua amechoka na hiyo kazi yake imeundolea hamu ya sex.kwa upande wangu inabidi nimbake vinginevyo naweza pitisha miezi 3 bila kusex.na ukim baka huwezifurahia.kutoka nje uchumi hauruhusu na pia naogopa maradhi je nifanye nini.NAOMBA USHAURI WENYE BUSARA.SIHITAJI MATUSI