nipesababu ya kushindwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nipesababu ya kushindwa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by hateme, Jul 21, 2011.

 1. h

  hateme Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eneo la ekari moja tutali nunua kwa shilingi laki nnne 400,000/= ekari kumi tuta nunua milion nne 4,000,000/= tutalima ekari moja kwa shilingi elfu thelasini 30,000/= ekari kumi lakitatu 300,000/ kilimo cha pili lakisita 600,000/= kupalilia ekari moja elfu ishirini ekari kumi laki mbili jumla lakinane800,000/= pamoja na shamba millioni nne laki nane4,800,000/= kumwagilia ekari kumi diseal lita 50 fanya lita 3000 unapata laki naelfu hamsini 150,000/= tuta mwagilia mara kumi 1500,000 total milion sita laki tatu6,300,000, mbegu za vitunguu kutengeneza vitalu na mpaka tuna pandikiza shambani haiwezi kuzidi milioni nne 4000,000/ total milion kuni laki tatu 10,300,000/=.
  ekari moja imatoa vitunguu gunia tisini hadi mia tuashumu tisini 90 ekari kumi tunapata gunia mia tisa 900 gunia moja huuzwa kati ya laki na ishirini hadi elfu tisini ashumu elfu tisini 90,000 fanya 90,000x900 81,000,000 hatakama mambo yakiharibika kiasigani huwezi pata hasara
   
 2. babalao

  babalao Forum Spammer

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sababu yako ya kushindwa huna mpango thabiti wa kutafuta soko jee mazao yako utauza wapi? au unalima kwanza ndiyo ukatafute soko? Nakuomba tafuta mshauri wa biashara akusaidie kuandaa mpango wa biashara Business plan ili usiingie mkenge. Ukitaka kufanya utafiti wa mambo ya kilimo mtafute Malila na Kanyagio ukitaka ushauri wa biashara na business plan muone babalao. JF kuna kila kitu Vingnevyo umeshindwa kabla hujaanza
   
Loading...